Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Kuhusu ule ni kweli mana mimi niliambiwa na mtu wa karibu yake,yani kaoa dada wa lusekelo kua jamaa pierre hamfikii kwa kunywa pombe
Ndugu yangu ni aibu kusema..mpaka alimfanyia fujo mtu na akarekodiwa hivi tukaona..na eneo la tukio mashahidi walishuhudia tena asubuhi na mapema katika ulwvini na mabaunsa wake...anatukana vibaya
Basi kuna binti mmoja akaja kumuansika kwenye blog yake..huyu lusekelo akamwambia we binti na wenzio mlioninansika nawatabiria hamfiki mwezi march mnakufa.tena kanisani
Hii ni mbaya sana.mtumishi wa Mungu unamtabiria mtu kifo? Wakati unahubiri maandiko wanasema nsamehe..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu ule ni kweli mana mimi niliambiwa na mtu wa karibu yake,yani kaoa dada wa lusekelo kua jamaa pierre hamfikii
Ndugu yangu ni aibu kusema..mpaka alimfanyia fujo mtu na akarekodiwa hivi tukaona..na eneo la tukio mashahidi walishuhudia tena asubuhi na mapema katika ulwvini na mabaunsa wake...anatukana vibaya
Basi kuna binti mmoja akaja kumuansika kwenye blog yake..huyu lusekelo akamwambia we binti na wenzio mlioninansika nawatabiria hamfiki mwezi march mnakufa.tena kanisani
Hii ni mbaya sana.mtumishi wa Mungu unamtabiria mtu kifo? Wakati unahubiri maandiko wanasema nsamehe..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maaskofu wanavaa pete , hata papa anavaa pete , mbona mnaiogopa hiyo ya Lusekelo?
Wewe nikuulize unaijua vizur pete ya papa au hua unahadithiwa tu papa anavaa pete? Unajua ile pete imebeba kitu gani? Mkuu ile pete ya papa iache ilivyo, giza lililopo pale, waumin na wasio waumin wake, asilimia kubwa hawajui!!!
 
Zilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
Khaaa[emoji16][emoji16]...na waumini wakaamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom