Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Happiness alichumbiwaga na kijana wa kichaga na mahari ilikwishatolewa, mzee wa 'upako' alimbeba kama mwewe. Happy sasa hv anamkumbuka mchaga wa watu, huku kwa mzee baba ndoa haisomi kabisa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni lin mkuu ilitokea hii mana sijawah isikia
 
Happiness alichumbiwaga na kijana wa kichaga na mahari ilikwishatolewa, mzee wa 'upako' alimbeba kama mwewe. Happy sasa hv anamkumbuka mchaga wa watu, huku kwa mzee baba ndoa haisomi kabisa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmh, wewe unamuongelea Happy yupi, mke wa Lusekelo anaitwa Happness Ngasara ni mtangazaji wa TBC na ni mtu mzima kiasi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…