G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Pale kwenye kamusi uliyoitumia kuna kielelezo cha msamiati Rehemu.....ni kweli msamaha lakini msamaha huu unamhusu zaidi nani?Kurehemu means kusamehe, Rehema means msamaha sema ni divine words lkn maana ni sawa, usikalili mkuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi sahihi ya kurehemu ni kwa marehemu na sio mtu hai.
Sent using Jamii Forums mobile app