DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Sio rahisi kulisukuma gari lililokwama ukiwa ndani ya gari hilo.Hawa si ndio huwa wanaponya kansa, kisukari, ukimwi n k .....
Sasa mbona wao huwa hawajiponyi?
Na nyie kina Mama ndi Wahanga wakubwa.Hawa si ndio huwa wanaponya kansa, kisukari, ukimwi n k .....
Sasa mbona wao huwa hawajiponyi?
Sasa si aende kwa manabii wenzie wanaoombea! Kwa mfano ubungo hapa maeneo ya Riverside Kuna huyu nabii makondeko anatangaza kila siku mtu yeyote mwenye ugonjwa wowote aende kwake atapona.S
Sio rahisi kulisukuma gari lililokwama ukiwa ndani ya gari hilo.
Mganga hajigangi. Anahitaji kuombewa.
Kwahiyo waumwa Figo na ini ni wanywa pombe kali tuu..? EtiBia haina shida sana kama nyagi and the like.
After God's creation, life was set once and for all like an automatic watch. He went in to total rest. So expect results of what you do on earth. No extraordinary forces.Hahahaha. Only his God knows what's wrong with him.
DuhDooooooh upako kwishnee... mdomo wake ulijaa maneno ya kejeli kejeli anasema "hapa kwangu sina kimeo hata kimoja zote hizi gari kalii" mimi mtu wa perfume kaliii Mungu anisamehe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... utaskia "nitatongoza wake za watu wangapi...wivu tuuu.. waume zao wakiniona nilivyo wanajua wake zao hawawezi kunikataaa"... "umeona hizi nywele zangu.. sipaki dawa mimi hizi ni natural"
Ugonjwa wa utajir ni upi mkuu
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
View attachment 1060239
Sasa huu uzi unazungumzia kuhusu kumuonea huruma; vp ulivyomwona, huruma anastahili au hastahili?Nimebahatika kumuona leo Sam Nujoma Rd saa 11 asubuhi tunatokea Mwenge kuelekea Ubungo tumesimama kwenye traffic light nilikaa siti ya abiria sasa wkt naangalia gari iliopo kushoto kwetu nikamuona anaendesha mwenyewe alikua kavaa miwani,
Aliponiona namuangalia kaniambia hujambo kijana,nikamwambia sijambo shikamoo mzee akaitikia,sasa akawa kama ananioneshea taa nyekundu kama vile inachelewa hivi,iliporuhusu kasepa zake,lakini yupo Charming sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anastahili huruma sababu ni kweli anaonekana kapungua sasa sijui kama anaumwa ama vpSasa huu uzi unazungumzia kuhusu kumuonea huruma; vp ulivyomwona, huruma anastahili au hastahili?
Anaitwa nani mkuu huyo wa Tanganyika packersWa Tanganyika Packers yule wa kweli hana mauza uza yule anachapa injili ya kweli sina mashaka naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulimwona kwa karibu zaidi, vipi amenyonyoka nywele au zipo kama mtu mwenye afya yake nzur tuAnastahili huruma sababu ni kweli anaonekana kapungua sasa sijui kama anaumwa ama vp
Sent using Jamii Forums mobile app
He still happy.dunia njiaNimebahatika kumuona leo Sam Nujoma Rd saa 11 asubuhi tunatokea Mwenge kuelekea Ubungo tumesimama kwenye traffic light nilikaa siti ya abiria sasa wkt naangalia gari iliopo kushoto kwetu nikamuona anaendesha mwenyewe alikua kavaa miwani,
Aliponiona namuangalia kaniambia hujambo kijana,nikamwambia sijambo shikamoo mzee akaitikia,sasa akawa kama ananioneshea taa nyekundu kama vile inachelewa hivi,iliporuhusu kasepa zake,lakini yupo Charming sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree with you on his going to total rest. However, he keeps His eyes on us all the time.After God's creation, life was set once and for all like an automatic watch. He went in to total rest. So expect results of what you do on earth. No extraordinary forces.
Kama anavyoonekana pichani tu huwezi sema kwamba kanyonyoka ila mwili tu umepunguaKama ulimwona kwa karibu zaidi, vipi amenyonyoka nywele au zipo kama mtu mwenye afya yake nzur tu
AhsanteKama anavyoonekana pichani tu huwezi sema kwamba kanyonyoka ila mwili tu umepungua
Sent using Jamii Forums mobile app