Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Hawa si ndio huwa wanaponya kansa, kisukari, ukimwi n k .....
Sasa mbona wao huwa hawajiponyi?
Na nyie kina Mama ndi Wahanga wakubwa.

Mtu anakwambia eti akuombee utajirike alafu utoe sadaka, tena wengine wanapanga kabisa na kiwango..anaishi kifahari kwa pesa zenu na nyie mnabaki kuombewa tu mfanikiwe.
 
S

Sio rahisi kulisukuma gari lililokwama ukiwa ndani ya gari hilo.
Mganga hajigangi. Anahitaji kuombewa.
Sasa si aende kwa manabii wenzie wanaoombea! Kwa mfano ubungo hapa maeneo ya Riverside Kuna huyu nabii makondeko anatangaza kila siku mtu yeyote mwenye ugonjwa wowote aende kwake atapona.
 
Dooooooh upako kwishnee... mdomo wake ulijaa maneno ya kejeli kejeli anasema "hapa kwangu sina kimeo hata kimoja zote hizi gari kalii" mimi mtu wa perfume kaliii Mungu anisamehe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... utaskia "nitatongoza wake za watu wangapi...wivu tuuu.. waume zao wakiniona nilivyo wanajua wake zao hawawezi kunikataaa"... "umeona hizi nywele zangu.. sipaki dawa mimi hizi ni natural"
Duh
 
Nimebahatika kumuona leo Sam Nujoma Rd saa 11 asubuhi tunatokea Mwenge kuelekea Ubungo tumesimama kwenye traffic light nilikaa siti ya abiria sasa wkt naangalia gari iliopo kushoto kwetu nikamuona anaendesha mwenyewe alikua kavaa miwani,
Aliponiona namuangalia kaniambia hujambo kijana,nikamwambia sijambo shikamoo mzee akaitikia,sasa akawa kama ananioneshea taa nyekundu kama vile inachelewa hivi,iliporuhusu kasepa zake,lakini yupo Charming sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huu uzi unazungumzia kuhusu kumuonea huruma; vp ulivyomwona, huruma anastahili au hastahili?
 
Nimebahatika kumuona leo Sam Nujoma Rd saa 11 asubuhi tunatokea Mwenge kuelekea Ubungo tumesimama kwenye traffic light nilikaa siti ya abiria sasa wkt naangalia gari iliopo kushoto kwetu nikamuona anaendesha mwenyewe alikua kavaa miwani,
Aliponiona namuangalia kaniambia hujambo kijana,nikamwambia sijambo shikamoo mzee akaitikia,sasa akawa kama ananioneshea taa nyekundu kama vile inachelewa hivi,iliporuhusu kasepa zake,lakini yupo Charming sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
He still happy.dunia njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
After God's creation, life was set once and for all like an automatic watch. He went in to total rest. So expect results of what you do on earth. No extraordinary forces.
I agree with you on his going to total rest. However, he keeps His eyes on us all the time.
 
Back
Top Bottom