Mpete wa kishirikina huo, Pete la majini hilo alikuwa akivaa pia Shehe Yahya Hussein wa Magomeni enzi za uhai wakeMi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kudanganywa hivo hivoHahaha .. kanisa no moja tu katoliki takatifu na la mitume..
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Funguka zaidiWewe nikuulize unaijua vizur pete ya papa au hua unahadithiwa tu papa anavaa pete? Unajua ile pete imebeba kitu gani? Mkuu ile pete ya papa iache ilivyo, giza lililopo pale, waumin na wasio waumin wake, asilimia kubwa hawajui!!!
Mmh, wewe unamuongelea Happy yupi, mke wa Lusekelo anaitwa Happness Ngasara ni mtangazaji wa TBC na ni mtu mzima kiasi chake
Kiafya vipi umemuonaje, kweli yuko hivi anavyoongelewa?Nimebahatika kumuona leo Sam Nujoma Rd saa 11 asubuhi tunatokea Mwenge kuelekea Ubungo tumesimama kwenye traffic light nilikaa siti ya abiria sasa wkt naangalia gari iliopo kushoto kwetu nikamuona anaendesha mwenyewe alikua kavaa miwani,
Aliponiona namuangalia kaniambia hujambo kijana,nikamwambia sijambo shikamoo mzee akaitikia,sasa akawa kama ananioneshea taa nyekundu kama vile inachelewa hivi,iliporuhusu kasepa zake,lakini yupo Charming sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy KatabaziNdugu yangu ni aibu kusema..mpaka alimfanyia fujo mtu na akarekodiwa hivi tukaona..na eneo la tukio mashahidi walishuhudia tena asubuhi na mapema katika ulwvini na mabaunsa wake...anatukana vibaya
Basi kuna binti mmoja akaja kumuansika kwenye blog yake..huyu lusekelo akamwambia we binti na wenzio mlioninansika nawatabiria hamfiki mwezi march mnakufa.tena kanisani
Hii ni mbaya sana.mtumishi wa Mungu unamtabiria mtu kifo? Wakati unahubiri maandiko wanasema nsamehe..
Sent using Jamii Forums mobile app
ArchieveArchive
Umempima acha polojo bi kiroboto [emoji3][emoji3][emoji3]Ukosefu wa Kinga Mwilini.
Nyoko we ... Heshimu kiongozi wa taifaHata Julius Kamarage kinga ya mwili wake ilipungua saaana hata magonjwa nyemelezi yakamshambulia na kumuua!!
Kama ulikusudia "nyoko" ni tusi basi NYOKO mwenyewe! Na kama umelitumia kama wabantu wengine naomba urekebishe maana mimi ni beberu.
Anastahili huruma sababu ni kweli anaonekana kapungua sasa sijui kama anaumwa ama vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Mganga hajigangi mkuu. Mpaka aende kwa nabii mwenzake kama vile Mwingira, Gwajima au Rwakatare ndiye amponye.Hawa si ndio huwa wanaponya kansa, kisukari, ukimwi n k .....
Sasa mbona wao huwa hawajiponyi?
Mmmmm jamani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kama ulimwona kwa karibu zaidi, vipi amenyonyoka nywele au zipo kama mtu mwenye afya yake nzur tu