Mpete wa kishirikina huo, Pete la majini hilo alikuwa akivaa pia Shehe Yahya Hussein wa Magomeni enzi za uhai wakeMi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app