Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Aug 18, 2019 #621 Remote said: Inasmekekana kile kitaulo ni kujifuta jasho maana pale mbele alikuwa anakaa na kichupa cha konyagi. Click to expand... Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewa
Remote said: Inasmekekana kile kitaulo ni kujifuta jasho maana pale mbele alikuwa anakaa na kichupa cha konyagi. Click to expand... Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewa
ATRACURIUM JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 753 Reaction score 918 Aug 18, 2019 #622 Msingida said: Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewa Click to expand... Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa?
Msingida said: Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewa Click to expand... Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa?
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Aug 18, 2019 #623 ATRACURIUM said: Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa? Click to expand... We sasa naona unataka kuchomoa betry,sipo!
ATRACURIUM said: Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa? Click to expand... We sasa naona unataka kuchomoa betry,sipo!
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 20, 2019 #624 ATRACURIUM said: Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa? Click to expand... Ule muonekano was mnywapombekali kupitiliza
ATRACURIUM said: Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa? Click to expand... Ule muonekano was mnywapombekali kupitiliza
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,044 Aug 20, 2019 #625 Itakuwa amepatwa na jua. Kupatwa kwa jua bila shaka!