Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewaInasmekekana kile kitaulo ni kujifuta jasho maana pale mbele alikuwa anakaa na kichupa cha konyagi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewaInasmekekana kile kitaulo ni kujifuta jasho maana pale mbele alikuwa anakaa na kichupa cha konyagi.
Jana niliangalia kipindi chake chanel ten,anaonekana dhahiri kalewa
We sasa naona unataka kuchomoa betry,sipo!Mkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa?
Ule muonekano was mnywapombekali kupitilizaMkuu sema vizuri kama ni mwonekano wa kulewa au ni mwonekano wa hali ya baba wa taifa?