Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Ya kweli haya mkuu?
Pole sana ..sio sawa hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ..sio sawa hii
Hahahahah
Nakumbuka enzi hizo nikiwa six nikaenda bhana nikazama na bible yangu nikatulia kwenye kiti
Sasa ikafika wakati wa sadaka kama unavyojua sadaka ni siri yako na Mungu .
Ikafika zamu yangu kutoa sadaka ile naweka kwenye mfuko kuna wazee was kanisa wahuni nadiriki Kuwaita wahuni tu maana kwa walichonifanyia sio sawa kabisa kiimani
Jamaa basi si wakafungua mkono kilazima ili waone naweka kiasi gani maskini ya Mungu sikuwa na kazi na hio hela nilijibana kwenye nauli yangu ,
Basi jamaa wakakuta coin mkononi wakanitimua nisepe nikasema fresh huyo nikasepa hapo hapo wala siku kas tena maana nilipandwa na hasira .
Ni mia kumi sasa
Ila kanisa wanapiga makofi hadi mikono inauma hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app