Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Usitumie nguvu kujiaminisha kuwa upo sahihi,
Wewe si kipimo cha ukweli kiasi kuwa ukikataa jambo inakuwa sahihi,
Jipe muda wa kuuliza na kujifunza,
Lkn km umeamua kukataa sababu tu akili yako imegota basi sawa,
Kanisa ni nini,
Biblia takatifu,
Mahali hapa patakatifu,
Hekalu takatifu
Nk nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ikulu ni patakatifu?
 
Hahahaa Pombe ni Pombe tu ili mradi iwe na alcohol,sema madhara yanakuwa makubwa endapo % ya alcohol ikiwa kubwa,kwahiy concentration inapokuwa kubwa na effect yake inakuwa kubwa vile vile.
Mkuu usifananishe pombe na uzinzi, waumini wake washapigiwa saaaaana, wawe wapole tuuu, ila inauma..[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nywele zinanyonyoka, yaani kama mamyoya ya nyau
 
Daaah !!! ila huyu jamaa, inabidi akahiji mto Jordan, yaani bapa plus papuchi.....!!!! anaingiza kwenye nguvu za mungu...? Aisee , afanye jitihada zake binafsi ..., !!! Asijidanganye kuna wakumwombea..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba papuchi na pombe ni vya ajabu hadi umshangae kwani ye nani? Nae si binadamu tu we hutumii?
 
Lusekelo hajafikia uzee huo...juzi tu hapo alikuwa pande la mtu...ghafla anaonekana kama kagonga 70...labda ana kisukari au kama kweli anapiga sana konyagi basi zimeshiamtibua ini, appetite hana tena.
Yeah kule kunona nona kunaisha
 
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
View attachment 1060239
WE COULD NOT SPEAK ON PEOPLE'S STATUSES WHILE OURS ALSO ARE IN THE QUESTION MARK OR AT STAKE, SO WHETHER IF HE'S NOT OKAY MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMBARIKI NA KUMJALIA AFYA NJEMA. AMEN
 
Back
Top Bottom