Namhurumia mdogo wangu, lakini aliyataka mwenyewe

Mambo ya Handcap!
Kuona mwanamke mwenye mtoto ni kupanda miwa karibu na shule ya msingi.
 
Yaani ipo hivi. Kwa sasa maisha ni magumu. Hivyo, mwanamke ambaye uchumi wake si mzuri anamtegemea mwanaume, basi akimpata mwanaume mwenye pesa, hebu ajitulize maisha yaende hata kama mwanaume hana nguvu za kiumbe, kikubwa anapumua.

Kwa sasa wanaume tunatingwa na mambo mengi sana kichwani mpaka nguvu za kiuke zinapungua mfano kuamka mapema na kuchelewa kulala. Sasa kama mwanamke unahudumiwa vizuri na uchumi wako si mzuri, kwa nini uhangaike na kula bata ikiwamo kudanha sijui unataka kukunwa kisawa sawa, halafu baada ya hapo unapata faida gani? Tulia utunzwe ule, unywe, uvae vizuri hata kama haufikishwi kileleni.
 
Ni kama unawivu na uhasama na mdogo wako, hii simulizi imekuja kimipasho sana. Kumkanya mdogo wako haitoshi muombee kwa Mungu Kila siku bila kuchoka.
 
Ni kama unawivu na uhasama na mdogo wako, hii simulizi imekuja kimipasho sana. Kumkanya mdogo wako haitoshi muombee kwa Mungu Kila siku bila kuchoka.
Sina wivu wala nini ila nimemsikitikia na ukweli lazima usemwe na wengine wapone
 
Uko sahihi mkuu ila ndiyo hivyo wasichana wengi hawatuliagi
 
Mbaya ya hii kitu ni pale ambapo hutaweza kumuamini tena huyo Manzi.

Hata ukisema umsamehe, mambo hayawezi kua mama mwanzo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…