Namhurumia mdogo wangu, lakini aliyataka mwenyewe

Namhurumia mdogo wangu, lakini aliyataka mwenyewe

Bwana Dere aliyataka mwenyewe.
Kabisa hapa kosa ni la jamaa..

Wewe mwanamke kwanza kakudanganya tena amekudanganya suala zito kweli kuhusu mtoto, halafu bado ukamsemehe.

Kingine anaoa msimbe tena msimbe mwenyewe ni msiri kwenye mambo ambayo hata hayatakiwi kuwa siri.

Kwa ufupi tu huyo shemeji alijiingiza kwenye matatizo kwa kujitakia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom