Namhurumia sana. Nimpe?

Kijana nahitaji FULL ADDRESS yako nikusaidie kitu.

Eeeh nikushughulikie maana hufai kuwepo hapo ulipo, ninyi ndio mlifanya vyeti feki waonekane hawastahiki kukaa maofisini kwakukosa vigezo vya kielimu kumbe wasomi mliopo hamna maana wala hamna tofaut na wahuni wa huku mitaani,

Na kumbe kuna panya mlibaki na hamkidhi vigezo vya kubaki humo maofisini.

Nawaurumia sana watoto wako kwa kuwa na mzaz wa hovyo, unawaaibisha wafanyakazi wenzio pamoja na wanaume kiujumla hufai kuwa wa mfano.

Jf kila siku inazidi kupoteza umaana wake sababu ya hawa wapuuzi wanaovaamia humu.

Oya achia iyo ofisi kabla sjakushughurikia kitradition[emoji41]..
 
Mhhh hivi mbona me nmesoma lkn sielewi
 
Nilivoonq neno "nimpe" nikadhani mtoa mada ni KE
 
Napata picha halisi ya Taasisi yenu, ni mbovu na imekaa kienyeji mno(sorry). Yaani from nowhere mabinti wanakuja field na kuanza kuwatongoza? Hao ni wahuni, si wanafunzi.

Inaonekana inaendeshwa kienyeji mno(primitively)!
 
Wewe ni jinsia gani wanaume wa hivi mbona hatupo na ikiwa wewe ni mwanaume upo under 25 tena hopeless.
 
Hapk wazazi wa hao mabinti wanashukuru Mungu watoto kupata field...😥😥
 
Ussenge huu unaleta Uzi Happ wa umalYa Sasa kwa taarifa yako mnapo wapanda hao wanafunz wa field mnajitakia majanga tu na nzluhakikshia huo unyama unaofanya utapotea hyo kaz
 
Ataumia kwa kukukosa na si kwa kumchukua mwenzie... Yaani hata usipomgonga mwenzie, kama humchukui yeye maana yake anaumia
 
Wewe ni nani kwanza, una tittle gani uwe na uwezo wa kunishughilikia mm.
 
Nyie ndo mnafanya vijana wenzenu wakose nafasi za kazi maofisini! Fanya kazi kijana, achana na "warembo"
 
Dhambi nyingine muwe mnazificha huenda peponi huko tukakutetea.

Sasa kulikua na ulazima gani wa kuleta huu uzi.
 
jamani huyu binti karudi kwa speed kubwa sana yaan kanatia huruma sijui hata namba yangu aliiipata wapi anapambana balaa
 
nitaleta screenshot hapa, nataman tu nimpe ila wasiwasi wangu atabeba mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…