Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za masiku Shemsina hamu na ccm
nzuri kabisa shemela za kufichwaHabari za masiku Shem
Acha zinaa wewe...Habarini wanajamvi
Aisee ofisini kwangu wamekuja waschana 4 field watatu ni waremb ila mmoja ni mrembo sana.
Sasa wakati wanafika nlikuwa safari kikazi kwa mwezi mzima hivo alikuwepo officemate wangu.
Jamaa mroho na yupo faster balaa nikakuta keshajimilikisha. Basi bwana nimekuja hivi mm nikawa cool kabisa sitaki kuonyesha dalili ya kuomba tuna kumbe wao wanajadiliana huko kweusi na oficemate wangu anajua.
Huyu mmoja alobakia havutii hata kidogo tu ila ananipenda sana and she is rotten to the core ni mdogo tu 18 to 20yrs, mm sivutiwi naye kabisa nampenda huyu mrembo kuliko wote jamaa hajala na dem kamkazia baada ya mm kuja ss jamaa kuona hivo akaomba mwenzao mmoja na keshagonga.
Sasa nimeamua kuwakaushia wote kwani namhurumia endapo nitamchukua huyu mzuri kuliko wote huyu anayenipenda nitamuumiza sana na kwakweli namhurumia kwani ana-declare kabisa ananipenda hadharani
Ndo maana nikakimbilia kwenye avatar yake kwanza [emoji1][emoji1]Hilo neno "nimpe" wanalitumia sana wadada.
Japo hawa watoto wakija maofisini wanatengeneza mitego sana ili tuwagonge..
Na mimi ndo kitu nilichokuwa nakiwaza!!Field watu wa level gan? Watu wako vyuoni sahivi lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daa! Hii kali, nimecheka kweli.Huyo anayejigonga kwako kam report polisi
Uchukue na RB kabisa…
Konokono wako ametunaa huko nyuma balaa😁Muandiko Kama kapita konokono.
Hakuna faida wanayopata... Hawa watoto wa kike wengi wao wanapoenda field wengi wanakua hawana pesa za matumizi ya chai chakula au nauli kilasiku, lakini hata wakiwa nazo pesa za kujikimu wanaamini kutoa penzi kwa mfanyakaz wa ofisi husika ni status kwake au anatengeneza connection ya kuja kuajiriwa baadae... Hawajui hakuna status wala connection wanaliwa na kusahaulika na pengine kupewa magonjwa... Wanaume sometimes tuwe na huruma sio vzuri kutembea na mwanamke kwasabab ana shida ya jambo fulani. Sometimes unatenda wema bila kutaka ngono ni baraka sana kwa Mungu.So? [emoji848]
Wao wanapata faida gani sasa!!
Dah! Nimeuliza swali la kitoto sana! ila utanisamehe tu!!
Mr Director