kaka kwa sifa ulizozi taja labda uoe wake watatu au zaidi ndio utakua umetimiza hitaji lako
Mmmhh! Complicated.
more than complicated mwe! kwaheri!!
kaka kwa sifa ulizozi taja labda uoe wake watatu au zaidi ndio utakua umetimiza hitaji lako
Kweli kabisa...inabidi atafute atleat watano ili wakiungana sifa zitimie...
Kila la heri kwenye mtafuto wako
hiyo sifa namba 13 nimeipenda lol, ila kweli complicated embu weka na wewe zako

Afadhali umemwambia mwaya, aweke zake tuone.