- Thread starter
- #41
"Awe hajawahi kuachana na mpenzi wakew kwa kufumaniwa " naona hii umeisahau.....
Tabia njema, nadhani inaingia hapo. Mambo kama hayo ya kungonoka ni tabia chafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Awe hajawahi kuachana na mpenzi wakew kwa kufumaniwa " naona hii umeisahau.....
ulipotea Neema..
mzimaa?
Si uanzishe thread ya kumsalimia? Mnaanza kuharibu mtiririko wa mtu anayetafuta mwenza kwa salaam zenu!
vingezo vyote ninavyo.ila nimgen jf so siwezi kukupm.nipm na contants zako.kama tunaweza faana
Mtoto wa lusinde anakufaa
mnh wanaume picky kama huyu wanakuwaga na gubu sana,umejitokea zako mbali huko umechoka,unalikuta limenuna tu bila sababu....:thinking::bump::hand:😛ray::A S 13:
Linanuna hadi linanuka mdomo
]Linanuna hadi linanuka mdomo