Nami nafunguka!!!

Nami nafunguka!!!

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Wadau Eid Mubaraq,

Natumai mnatabaruq maaqul al'asir hii na wale ambao mida bado haijafika basi naona kwa mbaali mmeshajaza mate midomoni na kuandaa njaa. Binafsi nimeshaweka tayari ndizi 3 mbivu kujielekeza huko nilikoalikwa.

Kama nilivyojiahidi kuwa kabla ya summer kuisha na mie nitafunguka ktk jamvi hili tuquf ktk kuutanabahisha umma huu yale yanayonisibu. Basi nadhani sitakua nimechelewa sana.

Kwa kifupi:
Tangazo lipo ifuatavyo:

Mimi Abdulhalim bin Juma bin Mwalimu natangaza nia ya kutafuta rafiki subject to:
1. The relationship will be strictly sapiosexual unless new conditions & terms are mutually agreed and accepted by both subjects!
2. Jinsia ya kike tu inahusika!
3. Usiwe mlokole au mjahidina(swala 5)
4. Ideally be financially-free ila sio muhimu sana
5. Umri usiozidi miaka 29.05
6. Be/ act like smart / learnt individual
7. Na nyinginezo

Wasifu wangu:
1. Kijana wa kiume
2. Miaka 33
3. The ultimate & most eligible bachelor in JF
4. Wasifu wa ziada kuhusu mengine mnaeza kuzipata kupitia mabandiko na nyuzi hapa JF

Kwa haya machache if this sounds really exciting to you, then drop me a line or few in my very own PM or at
abdulhaleemalmasih@yahoo.com

Wabillah tawfiq

Dullah One.
 
Wewe si ndo unaonyesha alama ya FILIMASONI kwenye avatar yako,hebu toa diskripshen ya affiliation yako kwenye hii jamii!
 
Wewe si ndo unaonyesha alama ya FILIMASONI kwenye avatar yako,hebu toa diskripshen ya affiliation yako kwenye hii jamii!
kaka ni aje tena? mbona unapeperusha stimu? tangazo kaa halikusu unasepa tu, sio kila kitu ni siasa.
 
Kila la kheri yahe. Ila angalizo, usidanganywe na avatar. Nlishaingia mkenge nikakutana na bonge la bibi. Khaa! Swahiba wangu klorokwini alijikuta anadeti na shoga la Magomeni.
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri yahe. Ila angalizo, usidanganywe na avatar. Nlishaingia mkenge nikakutana na bonge la bibi. Khaa! Swahiba wangu klorokwini alijikuta anadeti na shoga la Magomeni.
Usihofu kaka.
Conditions zipo wazi..hakuna expectations za ajabu hapo.
 
Yakhe sasa mwezi ulioisha uji kakupikia nani? Ulikuwa na matamanio mwezi mzima?
 
sapiosexual wow, someone has an evil past. You must be looking for someone who will understand your past adventures. Life is sweet. Good luck.
 
sapiosexual wow, someone has an evil past. You must be looking for someone who will understand your past adventures. Life is sweet. Good luck.
hata kama unataka kuongeza idadi ya posts uwe unachagua nyuzi mazee..sasa hiki ndio nini?
 
hata kama unataka kuongeza idadi ya posts uwe unachagua nyuzi mazee..sasa hiki ndio nini?

Hahahah jaribu kutumia google translator lol. Arif videm bado havijaibuka? Jaribu kuvidanganya unaendesha Hammer la 2012. Vishori vya cku hizi bila uongo na kujifagilia kiaina vinajifanya kupotezea.
 
Hahahah jaribu kutumia google translator lol. Arif videm bado havijaibuka? Jaribu kuvidanganya unaendesha Hammer la 2012. Vishori vya cku hizi bila uongo na kujifagilia kiaina vinajifanya kupotezea.
aisee, nimeshaanza kukusanya maombi nikitazama kasi ya uletaji nitatangaza mwisho wa validity ya hii offer. Mtu mwene mtazamo wa kutafuta mwendesha Hammer nadhani hili bandiko halimuhusu kwa sababu ni wazi hana sifa zinazotakikana.
 
Wasifu wangu:
1. Kijana wa kiume
2. Miaka 33
3. The ultimate & most eligible bachelor in JF
4. Wasifu wa ziada kuhusu mengine mnaeza kuzipata kupitia mabandiko na nyuzi hapa JF

Kwa haya machache if this sounds really exciting to you, then drop me a line or few in my very own PM or at
abdulhaleemalmasih@yahoo.com

Wabillah tawfiq

Dullah One.
Bado unatafuta au umesha pata? I am interested.
Mi nina sifa zote unazo hitaji kasoro moja (nitaisema PM)
ila nina wasiwasi na hapo in bold: ni auto-proclaimed?
 
Bado unatafuta au umesha pata? I am interested.
Mi nina sifa zote unazo hitaji kasoro moja (nitaisema PM)
ila nina wasiwasi na hapo in bold: ni auto-proclaimed?
Kati ya yote ulioongea hilo lililoekwa rangi tofauti ndio la msingi na linahusu uzi huu.
Bi. Mwali nasubiri PM yako, nafasi iko wazi bado pengine ww ndo utafunga duka! (niko very serious).
 
Kati ya yote ulioongea hilo lililoekwa rangi tofauti ndio la msingi na linahusu uzi huu.
Bi. Mwali nasubiri PM yako, nafasi iko wazi bado pengine ww ndo utafunga duka! (niko very serious).
Nimesha tuma PM ya kuonesha how smart I am

Si mwenyewe umesema we should act smart?
Mi nimeelewa we can pretend to be smart.:A S-omg:

Matokeo lini?
 
Hahahah jaribu kutumia google translator lol. Arif videm bado havijaibuka? Jaribu kuvidanganya unaendesha Hammer la 2012. Vishori vya cku hizi bila uongo na kujifagilia kiaina vinajifanya kupotezea.
Babu hao wakwako unawatafutia baa au?
No wonder umesema videm/vishori etc
Yeye anatafuta something above that
 
Nimesha tuma PM ya kuonesha how smart I am

Si mwenyewe umesema we should act smart?
Mi nimeelewa we can pretend to be smart.:A S-omg:

Matokeo lini?
Bi. Mwali uneonesha vile vitu ninaexpect sana, nimesoma nanihii yako na umeona ume-like kule kwingine / you must be sheikh Yahaya descendant maana ile nanihii inakuhusu! i guess sasaivi unajiskia UJIKO SANA. anyways liwale na liwe! nitananihii ile nanihii when I'm free.
Don't worry with matokeo, it is you to lose..
 
Last edited by a moderator:
Wajameni, offer hii ina-expire tarehe 31 August 2012.. kama kutakua na chochote tutajuzana..mkiona kimya mjue zoezi limekua tasa. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom