princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
jamani!!! Abdulhalim si umtangaze shostito Mwali au na wewe unataka upolwe kama kna wakat ndio sasa!!!!!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh na wewe umekula skukuu peke yako ndo unaibuka leo? Sasa lini utakuja naniliu? Mwali is my very good plutonic friend. Nafac bado iko wazi ila ofa ina-expire Ijumaa ijayo.jamani!!! Abdulhalim si umtangaze shostito Mwali au na wewe unataka upolwe kama kna wakat ndio sasa!!!!!!!??
tatizo hii skukuu niliilia pangoni hata network haishiki!! endelea kusubiri mi sna vgezo bahat mbaya!! vyote vpo roborobo!!Duh na wewe umekula skukuu peke yako ndo unaibuka leo? Sasa lini utakuja naniliu? Mwali is my very good plutonic friend. Nafac bado iko wazi ila ofa ina-expire Ijumaa ijayo.
jamani!!! Abdulhalim si umtangaze shostito Mwali au na wewe unataka upolwe kama kna wakat ndio sasa!!!!!!!??
heee bi harusi kumbe upo!! we mwache acheleweshe!!!! ataanzisha thread kila siku!!!!!hahahahaaa. . . nimechekaje!
uuuwi!!! nsamehe babu harusi mtarajiwa!!!!!Ntakusemea kwa Mwali akuchape!
khaaaaa!!!!!! nshakuwa mimi tenah!!!! we unataka kuoa shugamumy au!!??aah, kumbe Mwali kiboko yako eeh! harusi gani wakati bi harusi mwenyewe unaruka kimanga??
khaaaaa!!!!!! nshakuwa mimi tenah!!!! we unataka kuoa shugamumy au!!??
ya leo kali!!!haina afadhali!!!ulishakua kitambo sana..