Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo.
photo-output.jpeg

Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura.

Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya kushinda uchaguzi huo kikiwa kimetawala taifa hilo la Kusini mwa Afrika tangu uhuru mwaka 1990.
IMG_1061.png

Makamu wa Rais, Netumbo Nandi-Ndaitwah, anayegombea kupitia chama tawala atakuwa kiongozi wa kwanza mwanamke nchini humo iwapo atashinda.
IMG_1062.jpeg
Wachambuzi wa kisiasa walisema kuna uwezekano SWAPO kuondolewa madarakani na vijana waliochoshwa na ukosefu mkubwa wa ajira, ukosefu wa usawa na tuhuma za ufisadi, ingawa uaminifu wa muda mrefu kwa chama miongoni mwa wapiga kura wazee na wa vijijini unaweza kukisaidia kuvuka.

===

Voting is under way in Namibia in what could be the most competitive election since independence from white-ruled South Africa 34 years ago.

Netumbo Nandi-Ndaitwah is seeking to become the country's first female president.

She is the candidate of the governing South West Africa's People's Organisation (Swapo), to replace Hage Geingob, who died in February after nine years in office.

But high unemployment, poverty, inequality and corruption allegations have eroded support for the party.

Nandi-Ndaitwah's main challenger is Panduleni Itula of the Independent Patriots for Change (IPC) party, as well as 13 other candidates.

Local media showed that long queues had already formed at schools and other polling centres as voting began on Wednesday morning.

The voting, which started at 07:00 local time (05:00 GMT) closes at 21:00.

Swapo has been in power since leading the country to independence in 1990.

A candidate requires more than 50% of the vote for outright victory, or there will be a second round run-off between the top two candidates.

Results are expected over the coming days.

Nandi-Ndaitwa cast her ballot in the capital Windhoek as the polls opened, urging fellow Namibians to go out and cast their vote, saying it will "have an impact for the next five years in your life".

She is up against a traditional and male-dominated political culture in the country.

But she is a trusted leader having served in high government office for a quarter of a century.

Itula, a former dentist and lawyer, took 29% of the votes in the last elections in 2019, losing to Swapo leader Geingob, who got 56%.

He said this was an important day for Namibia’s democracy, as he cast his vote in the capital.

Namibia is currently led by interim President Nangolo Mbumba, who took over in February after Geingob died, but he is not running.

Analysts say the outcome could depend on young voters, who make up more than half of the electorate.

Namibians are also choosing new members of parliament.

Namibia is a vast and peaceful country with a sparse population of about three million, around half of whom are eligible to vote.
 
Back
Top Bottom