ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 546
Wakuu habarini za asubuhi,
Leo ikiwa ni siku ya saba tangu nianze nilikizo nimejikuta kumisi sana mwanamke maalum wa kumbembeleza na kumjali, kutania na kufurahi pamoja, wakua nae katika hali zote.
Niwe naye Leo kesho na hata milele, tuwe pamoja kwa umoja tena tuwe kitu kimoja.
Nimemisi mapenzi ya dhati, kujaliwa na kuthaminiwa.
Najua ningekuwa naye tungekuwa mbali kimaisha .
Nitampata wapi mwenye mapenzi ya dhati, anayejua thamani ya mume, mkweli, muwazi, mwenye shauku kama yangu.
Popote alipo namngojea kwa hamu mwambieni namngojea PM.
Ni hayo tu asanteni sana.