ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 546
- Thread starter
- #41
Neema njoo pm tuyajengeNipo tayari.Mashairi tu yalivyopangiliwa vina na mizani yamenikosha roho.Potelea mbali hata kama huna mapenzi utakuwa unaniimbia nyimbo naburudika.Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app