Namkubali Kibwana Dachi wa Magic FM, 92.9

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Huwa napenda kusikiliza hii Radio kila siku asubuhi wakati najiandaa kwa ajili ya siku yangu. Kuna mtangazaji wa radio hii anaitwa Kibwana Dachi, ni mzuri sana. Ana analysis kali na uelewa mpana sana wa mambo.

Nadhan uia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu anasomea mambo ya habari. Nampa big up sana, na Lecturers wake pia. Huyu anaelekea atakuja kuwa kama Jenerali Ulimwengu. Uelewa wake wa mambo uko juu mno. Ananifurahisha sana hasa akianza kuchambua issue za msingi.

Nampa hongera sana!

Jaman hzo steshen sehem zingne hazikamati hizo frequency ni mkoa ulipo ww huku tofaut ungetutajia hicho ni kituo gan au redio gan?
 
Jaman hzo steshen sehem zingne hazikamati hizo frequency ni mkoa ulipo ww huku tofaut ungetutajia hicho ni kituo gan au redio gan?

Sina uhakika zaidi, nadhani ni Times FM au Clouds FM. Kuna vijana watatu watangazaji prominent, wawili wao ni Mary Edward na Ernst Kawawa akama sikosei. Ni wazuri sana kwa ujumla!
 
Kibwana Dachi kimeoo we hujamjuwa tu angalia Channel Ten ndo utajuwa vizuri!
 
Sina uhakika zaidi, nadhani ni Times FM au Clouds FM. Kuna vijana watatu watangazaji prominent, wawili wao ni Mary Edward na Ernst Kawawa akama sikosei. Ni wazuri sana kwa ujumla!

Nyieeee hebu tokeni humu!
 
Sina uhakika zaidi, nadhani ni Times FM au Clouds FM. Kuna vijana watatu watangazaji prominent, wawili wao ni Mary Edward na Ernst Kawawa akama sikosei. Ni wazuri sana kwa ujumla!

ni magic fm,kipindi kinaitwa morning magic huyo mbaba mi huwa namfananisha na GOOGLE
 
mkoa gani?
 
Anaongea kama ana amechoka,anyway kibwana ana umri mkubwa hata ongea yake.yule mary edward nae anajitahidi sana ile asubuhi wakati wa magazeti.
hiyo ni magic fm.
Style yao ni sawa na ile ya cloud fm.
 
Jaman hzo steshen sehem zingne hazikamati hizo frequency ni mkoa ulipo ww huku tofaut ungetutajia hicho ni kituo gan au redio gan?
Kama una dish lile intelsat na unakamata chanel ten lazima uipate hata kama uko bush kikubwa ni kuset freguency za radia magic fm.
 
Sina uhakika zaidi, nadhani ni Times FM au Clouds FM. Kuna vijana watatu watangazaji prominent, wawili wao ni Mary Edward na Ernst Kawawa akama sikosei. Ni wazuri sana kwa ujumla!
sio hizo redio ulizo zitaja hapo juu ndugu hao wanatangaza kipindi cha asubuhi kupitia Magic Fm, badae Kibwana anaingia katika zaidi ya Habari ndo ana anza kuchambua mada husika
 
halafu wanampa muda mfupi sana kuchambua habari,huyu wenyewe wanamuita "GOOGLE"
 
hata mimi namkubali sana..nilikuwa napenda kumsikiliza sana wakati niko dodoma kwa sasa nilipo hiyo redio haipatikani namiss sana anajua kuchambua mambo
 
Ni kweli kabisa Kibwana yuko vizuri sana kichwani!

Huko Kichwani Kwake Uliingia Lini Na Kukifanyia UTAFITI Wa KUTUKUKA Hicho Kichwa Chake Unachokisifu Hapa Mbele Ya Hadhara Mkuu?
 
...ila Kibwana kawakosea heshima WAKATOLIKI na emeomba msamaha. Tafuta hio post hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…