Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Huwa napenda kusikiliza hii Radio kila siku asubuhi wakati najiandaa kwa ajili ya siku yangu. Kuna mtangazaji wa radio hii anaitwa Kibwana Dachi, ni mzuri sana. Ana analysis kali na uelewa mpana sana wa mambo.
Nadhan uia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu anasomea mambo ya habari. Nampa big up sana, na Lecturers wake pia. Huyu anaelekea atakuja kuwa kama Jenerali Ulimwengu. Uelewa wake wa mambo uko juu mno. Ananifurahisha sana hasa akianza kuchambua issue za msingi.
Nampa hongera sana!