Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

Mi sina role model maisha haya .
 
Kama wewe unavyofanya biashara ya kufuatilia maisha ya wcb
Humu if inabidi tutumie kigezo cha umri kusajiliwa maana kuna form 3 humu na timu zao hats uweke wazo LA kibusara na kuelimisha utapata majibu Kama hayo yako
 
Humu if inabidi tutumie kigezo cha umri kusajiliwa maana kuna form 3 humu na timu zao hats uweke wazo LA kibusara na kuelimisha utapata majibu Kama hayo yako
Jinsia yako plz?
 
Unalipa wapi Mwanamuziki mpaka atufurahishe tumpe hela ni sawa na changudoa tu
Duuh kweli wabongo tupo chini sana ktk kupambanua na kufikiria mambo.
Kwani kazi ya akina Jay Z, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na wengine wengi walio kwenye biashara tasnia ya Sanaa, michezo na burudani ni nini?

Kufurahisha na kuburudisha watu kuna fedha sana.
 
Kusaga umefeli hivi Diamond hawezi kumshitaki Kusaga kwa ku expose mikataba yake ya kibiashara
Hawezi mkuu, kwa sababu mkataba haujawa 'breached ' ila kusaga ange breach labda dai ndo angeweza kudai remidiers na pia kuna aina za kuvunja mikataba lkn hapo haijaonekan hata moja, ila kuna mchangiaji kasema lzm unapoingia mkataba kuwe na confediality 'ya kutoruhusu ku expose contract terms
 
Huku kijijini nilipo napitwa na ya mjini watangazi wamesema lini mkuu kuhusu perfum na diamond karanga sio za chibu
 
diamond kashakua mkubwa sana kumshusha haiwezekani....labda cloiuds wawashushe akina aslay
 
Hata mimi nimeona haikuwa busara na wao ndiyo watapata hasara kwa maana kuna watu wengi walikuwa wakinunua hizo karanga kisa tu wanadhani ni bidhaa ya Diamond ni siyo kwamba labda wanazipenda sana.
ilikuaw ni katika kumsupport Naseeb
 
Kukusaidia tu ni Kwamba Diamond Karanga as a Brand, Ilikuwepo Tangia zamani, So Usitegemee itashuka. Tatizo kubwa Ambalo unakwepa kulizungumzia hapa, ni Huyo Dogo kua na Managers Wabovu Kuwahi kutokea. Wao wanaangalia Maslahi yao tu Bila kuona kwamba Diamond anahitaji kua zaidi ya Brand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…