Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

Wcb wanabiashara gani kubwa wanayoimiliki wao zaidi ya muziki
Na music ndio huo hado alipe kundi kubwa
1.babu tale
2.mkubwa fela
3.kadomomo
4.mose iwobo na wenzie sita
5.dj
6.zari
7.mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara inakata hii lasivyo lazima uigize kama unahela kumbe mavi matupuu

Bado bataaa
 
Sallam ndo anamharibia Dai, hana kifua. Pia nahisi hata Wasafi TV/Radio sio ya Dai
Huo ndio ukweli...WASAFI REDIO NA TV NI WAZO LA BASHITE KATIKA.KUPAMBANA NA CLOUDS.NA MTOA PESA GSM...mwisho wa siku dogo atapigwa chini na redio na tv vitabaki kwa mmiliki wake gsm .... dogo atalialia kuwa kaonewa ila dovuments hana.

HUYU DOGO AMEANZISHA UGOMVI NA CLOUDS AMBAO PIA WALIKUWA WASHKAJI ZAKE MPAKA WANAFANYA BIASHARA PAMOJA YA KUUZA KARANGA....

KAMWAGA MBOGA WAO WAMEMWAGA UGALI...SIONI SABABU YA WAO WCB KUANZA KULIALIA...WALITAKIWA WAJUWE KABISA KUWA WANACHOKIFANYA KITAWAGHARIMU SANA...
 
Tatizo kubwa nimegundua Ni kwamba watanzania wengi wana roho mbaya Sana Sana Sana ya kutopenda kuona mtanzania mwenzake
anaendelea na kutoka kiuchumi.tumekuwa na wivu wa kijinga Sana wa kumuharibià mwenzako asiendelee bila sababu ya maana.
Tumekuwa siyo watu wa kujifunza mwenzangu ametoka vipi ili nami nifuate nyao zake badala yake Ni majungu,fitna,kijicho na roho mbaya.
Sijaona kosa la diamond mpaka watu wanamshambulia kiasi hiki,nadhani kosa lake ni maendeleo yake ya kimuziki na mafanikio yake.hakuna sehemu yoyote ambayo diamond amewahi kutamka kwamba diamond karanga Ni zake lakini angalia povu watu linavyowatoka,tubadilike ndg zangu tuache wivu wa kijinga na tutafute maendeleo ,wakati mwingine hata kwa kuiga kutoka kwa wenzetu waliyofanikiwa.chuki zetu juu waliyopiga hatua hazitatuingizia chochote badala yake zitazidi kuturudisha nyuma.
Povu ruksa
 
Mimi sina biashara kubwa ndo mana huwezi kukuta nashoboka na biashara za watu kwa kujidai ni zangu kama anavyoshoboka bosi wako kwenye biashara za watu
Yaani wewe ndo pumba kabisa.diamond Ni mfanya biashara wa music,amekua maarufu kwa sababu ya muziki.anatumia umaarufu wake kufanya biashara ya matangazo na analipwa pesa ndefu Sana.
Uwezo wako wa kufikiri uko chini sana
 
Biashara ya music tunajua kweli anafanya..but swali ni kuwa kwanini biashara za wenzie anajifanya za kwake ili aonekane tu kuwa anapesa nyinhi wakati kiukweli ye ni kikaragosi tu kilichowekwa kama balozi
 
Hata mimi nimeona haikuwa busara na wao ndiyo watapata hasara kwa maana kuna watu wengi walikuwa wakinunua hizo karanga kisa tu wanadhani ni bidhaa ya Diamond ni siyo kwamba labda wanazipenda sana.
ilikuaw ni katika kumsupport Naseeb
Ndio tutaendelea kuzila wala usiogope...kwani huyo diamond ndio utamu wa karanga useme akiondoka na ladha ya karanga inaondoka?

Kwahiyo watoto wanakula kumsapoti diamond au sababu wana zipenda...je watoto wanavyozigombea chama ni kumsapoti nani unayemjua?
 
Biashara ya music tunajua kweli anafanya..but swali ni kuwa kwanini biashara za wenzie anajifanya za kwake ili aonekane tu kuwa anapesa nyinhi wakati kiukweli ye ni kikaragosi tu kilichowekwa kama balozi
Kwanini una chuki kubwa kiasi hiki na diamond ?? Mpaka unamwita kikaragosi ?
Dah,kwa kweli tutasubiri Sana Sana kupiga hatua.watz tutaendelea kuwa masikini wa Mali na akili wa kutupwa ktk dunia hii
 
Ndio tutaendelea kuzila wala usiogope...kwani huyo diamond ndio utamu wa karanga useme akiondoka na ladha ya karanga inaondoka?

Kwahiyo watoto wanakula kumsapoti diamond au sababu wana zipenda...je watoto wanavyozigombea chama ni kumsapoti nani unayemjua?
tena watoto ndiyo kabisa wana tendence ya kupenda vitu kwasababu ya kitu flani, mfano atakwambia niletee bag la anna montana, saa ya benten.... karanga za diamond. Chama hakujibrand kupitia jina la msanii ila diamond karanga imejibrand kupitia jina la diamond.
Ungekuwa una uelewa wa marketing ungeelewa ndiyo maana wenzetu hata kama msanii alikuwa barozi wa bidhaa akiwa na scandal anapigwa chini mfano tiger woods. Ukibrand kitu kutumia msanii au mtu flani kuna kuwa na mahusiano ya moja kwa moja kati ya hiyo bidhaa na huyo mtu.
hata wewe mwenyewe I am sure ukiona diamond karanga picha ya kwanza inakuijia diamond msanii kwamba ni bidhaa ya diamond.
Kwneye biashara mara nyingi vitu uwa haviuzi kwasababu ni bora kuliko bidhaa nyingine, hapana ni image iliyotengenezwa kwenye vichwa vya watu na diamond karanga inapendwa zaidi kwasababu ya diamond.
 
diamond kashakua mkubwa sana kumshusha haiwezekani....labda cloiuds wawashushe akina aslay
hoja kama hiz ni zakitoto mnooo...wawajua wenge bcbg ..zaiko langa langa ..kanda bongo man .yondo sister. gat'ho ..hao aalikuwa ni mastar wa Africa walivuma dinia nzima lakini wakati wao wakutmba ulipokwisha mpka leo hawasikiki tena ...haya wamjua jah rule .Bob brown. Jermain Dupre .sisqo .KCI & JoJo..Toni braxton .blue canter .maria Carey ..nas Escobar ..unaikumbuka bad boy ya kina loon na mesi wewe ..hawa wote wakowapi leo ...suala lakupnda na kushuka sio lamtu binafsi nila mungu
 
we ndio una hoja za kitoto....diamond atashuka kimuziki muda wake ukifika na sio kushushwa na clouds.......Atashushwa na muda na sio kushushwa na mtu.......na sasa hivi muda wake wa kushuka bado haujafika so ruge na clouds yake hawawezi kumshusha.............wasubiri muda wake ukifika atashuka mwenyewe kama hao uliowataja
 
hahaaa
kwani mungu anapokushusha huwa anakushusha vipi hebu tuanzie hapo kwanza...mpka upinge kuwa clouds hawawezi kumshusha diamond ...mahaba yakizidi huwa yanaleta upofu wa akili ..

haya niambie mungu huwa anamshusha mtu vipi ??
 
kwa hiyo ruge ni mungu?
 
tena watoto ndiyo kabisa wana tendence ya kupenda vitu kwasababu ya kitu flani, mfano atakwambia niletee bag la anna montana, saa ya benten.... karanga za diamond. Chama hakujibrand kupitia jina la msanii ila diamond karanga imejibrand kupitia jina la diamond.
Ungekuwa una uelewa wa marketing ungeelewa ndiyo maana wenzetu hata kama msanii alikuwa barozi wa bidhaa akiwa na scandal anapigwa chini mfano tiger woods. Ukibrand kitu kutumia msanii au mtu flani kuna kuwa na mahusiano ya moja kwa moja kati ya hiyo bidhaa na huyo mtu.
hata wewe mwenyewe I am sure ukiona diamond karanga picha ya kwanza inakuijia diamond msanii kwamba ni bidhaa ya diamond.
Kwneye biashara mara nyingi vitu uwa haviuzi kwasababu ni bora kuliko bidhaa nyingine, hapana ni image iliyotengenezwa kwenye vichwa vya watu na diamond karanga inapendwa zaidi kwasababu ya diamond.
nakubaliana nawe kuwa ukibrand biashara flani kwajina lamtu maarufu kama kikifnyiwa promo vyema "
huwa kinapata nafasi kubwa mnooo katika Jamii ..lakini yakupasa ujue kuwa hilo jina LA diamond karanga lilipachikwa ktk hzo karanga muda mrefu mnoo na hizo karanga hzikupewa hilo jina kwaajili ya diamond na sibu nop...walitumia jina LA karanga as brand ya rasilimali kama vile mtu yeyote awezvyo kutumia jina la kilimanjaro..
ila awali ilikuwa hazikuwa zikitoka kihivyo nazilikuwa zauzwa 200 ila baada ya smart industry kumpa ubalozi diamond wa hizo karanga basi zikawa zinafanya vizur zaid ktk soko ...maana walizifnyia matangazo mengi pia kitu ambacho awali walikuwa hawakifnyi ...

but Nina swali kwako kwani msanii anayefnya matangazo ya biashara tz yupo diamond tu peke yake ...maana naona kama mmekariri Hivi kiasi kwamba mmefikia hatua yakusema kuwa biashara itakufa ..na je !!? hakuna biashara zinazo endelea nchini pasipo kuwa namabalozi wasanii wanaozitangaza ..!? kama zipo !!? kwanini mnasema kuwa hizo karanga hazitonunulika ..!? Hivi mnaijua nguvu ya mtu Mwenye Pesa ??
halafu mbona mnajisahaulisha kuwa kusaga nimtu ambaye nimzoefu mnooo katika biashara so uwezo wakuendelea kufnya biashara hiyo kwao nimkubwa ..ijpokuwa wanaweza kuyumba kidogo
 
Hawana uwezo wa kuuza hata hivyo viungo vya pilau...mbona kuuza karanga tu kumbe ni mabalozi
hahaaa wabongo nyokoooo
haya ndio matatizo yakuwa na mashow off yasiyo natija ..yaani unajitanua misuli ya shingo kujidai kuwa ni owner wavitu flani flani hapa mjini kumbe hamna kitu ..then wenyew wakiwapora wanaanza kulia lia nakutafuta huruma ya mashabiki ..

HAYA NDIO MATOKEO YA JEURI VIBURI NA DHARAU ..ngoja tuone mwisho wa hii episode ..
 
hahaaa
kwani mungu anapokushusha huwa anakushusha vipi hebu tuanzie hapo kwanza...mpka upinge kuwa clouds hawawezi kumshusha diamond ...mahaba yakizidi huwa yanaleta upofu wa akili ..

haya niambie mungu huwa anamshusha mtu vipi ??
Mbona unaanza kutema pumba, Mungu tena?
 
Back
Top Bottom