Na music ndio huo hado alipe kundi kubwaWcb wanabiashara gani kubwa wanayoimiliki wao zaidi ya muziki
Mziki ni biashara bro... Au ulitaka wauze viungo vya pilau....Wcb wanabiashara gani kubwa wanayoimiliki wao zaidi ya muziki
Hawana uwezo wa kuuza hata hivyo viungo vya pilau...mbona kuuza karanga tu kumbe ni mabaloziMziki ni biashara bro... Au ulitaka wauze viungo vya pilau....
Huo ndio ukweli...WASAFI REDIO NA TV NI WAZO LA BASHITE KATIKA.KUPAMBANA NA CLOUDS.NA MTOA PESA GSM...mwisho wa siku dogo atapigwa chini na redio na tv vitabaki kwa mmiliki wake gsm .... dogo atalialia kuwa kaonewa ila dovuments hana.Sallam ndo anamharibia Dai, hana kifua. Pia nahisi hata Wasafi TV/Radio sio ya Dai
Dogo anamiliki nyumba madale na anamiliki studio ya wasafi records plus mademu kibao na watoto wake....Acheni dharau bana
Mnataka kusema jamaa ana kende tupu!!?
Yaani wewe ndo pumba kabisa.diamond Ni mfanya biashara wa music,amekua maarufu kwa sababu ya muziki.anatumia umaarufu wake kufanya biashara ya matangazo na analipwa pesa ndefu Sana.Mimi sina biashara kubwa ndo mana huwezi kukuta nashoboka na biashara za watu kwa kujidai ni zangu kama anavyoshoboka bosi wako kwenye biashara za watu
Biashara ya music tunajua kweli anafanya..but swali ni kuwa kwanini biashara za wenzie anajifanya za kwake ili aonekane tu kuwa anapesa nyinhi wakati kiukweli ye ni kikaragosi tu kilichowekwa kama baloziYaani wewe ndo pumba kabisa.diamond Ni mfanya biashara wa music,amekua maarufu kwa sababu ya muziki.anatumia umaarufu wake kufanya biashara ya matangazo na analipwa pesa ndefu Sana.
Uwezo wako wa kufikiri uko chini sana
Ndio tutaendelea kuzila wala usiogope...kwani huyo diamond ndio utamu wa karanga useme akiondoka na ladha ya karanga inaondoka?Hata mimi nimeona haikuwa busara na wao ndiyo watapata hasara kwa maana kuna watu wengi walikuwa wakinunua hizo karanga kisa tu wanadhani ni bidhaa ya Diamond ni siyo kwamba labda wanazipenda sana.
ilikuaw ni katika kumsupport Naseeb
Kwanini una chuki kubwa kiasi hiki na diamond ?? Mpaka unamwita kikaragosi ?Biashara ya music tunajua kweli anafanya..but swali ni kuwa kwanini biashara za wenzie anajifanya za kwake ili aonekane tu kuwa anapesa nyinhi wakati kiukweli ye ni kikaragosi tu kilichowekwa kama balozi
tena watoto ndiyo kabisa wana tendence ya kupenda vitu kwasababu ya kitu flani, mfano atakwambia niletee bag la anna montana, saa ya benten.... karanga za diamond. Chama hakujibrand kupitia jina la msanii ila diamond karanga imejibrand kupitia jina la diamond.Ndio tutaendelea kuzila wala usiogope...kwani huyo diamond ndio utamu wa karanga useme akiondoka na ladha ya karanga inaondoka?
Kwahiyo watoto wanakula kumsapoti diamond au sababu wana zipenda...je watoto wanavyozigombea chama ni kumsapoti nani unayemjua?
hoja kama hiz ni zakitoto mnooo...wawajua wenge bcbg ..zaiko langa langa ..kanda bongo man .yondo sister. gat'ho ..hao aalikuwa ni mastar wa Africa walivuma dinia nzima lakini wakati wao wakutmba ulipokwisha mpka leo hawasikiki tena ...haya wamjua jah rule .Bob brown. Jermain Dupre .sisqo .KCI & JoJo..Toni braxton .blue canter .maria Carey ..nas Escobar ..unaikumbuka bad boy ya kina loon na mesi wewe ..hawa wote wakowapi leo ...suala lakupnda na kushuka sio lamtu binafsi nila mungudiamond kashakua mkubwa sana kumshusha haiwezekani....labda cloiuds wawashushe akina aslay
we ndio una hoja za kitoto....diamond atashuka kimuziki muda wake ukifika na sio kushushwa na clouds.......Atashushwa na muda na sio kushushwa na mtu.......na sasa hivi muda wake wa kushuka bado haujafika so ruge na clouds yake hawawezi kumshusha.............wasubiri muda wake ukifika atashuka mwenyewe kama hao uliowatajahoja kama hiz ni zakitoto mnooo...wawajua wenge bcbg ..zaiko langa langa ..kanda bongo man .yondo sister. gat'ho ..hao aalikuwa ni mastar wa Africa walivuma dinia nzima lakini wakati wao wakutmba ulipokwisha mpka leo hawasikiki tena ...haya wamjua jah rule .Bob brown. Jermain Dupre .sisqo .KCI & JoJo..Toni braxton .blue canter .maria Carey ..nas Escobar ..unaikumbuka bad boy ya kina loon na mesi wewe ..hawa wote wakowapi leo ...suala lakupnda na kushuka sio lamtu binafsi nila mungu
hahaaawe ndio una hoja za kitoto....diamond atashuka kimuziki muda wake ukifika na sio kushushwa na clouds.......Atashushwa na muda na sio kushushwa na mtu.......na sasa hivi muda wake wa kushuka bado haujafika so ruge na clouds yake hawawezi kumshusha.............wasubiri muda wake ukifika atashuka mwenyewe kama hao uliowataja
kwa hiyo ruge ni mungu?hahaaa
kwani mungu anapokushusha huwa anakushusha vipi hebu tuanzie hapo kwanza...mpka upinge kuwa clouds hawawezi kumshusha diamond ...mahaba yakizidi huwa yanaleta upofu wa akili ..
haya niambie mungu huwa anamshusha mtu vipi ??
.......... akipata.........hulia mbwata.Naona kijana wa WCB unatoa povu baada ya kudondokea pua...tatizo wcb mnapenda kujifanya nyi mnamafanikio sana kuliko wenginena kuwaona wasanii wengine bongo kama umbwa
nakubaliana nawe kuwa ukibrand biashara flani kwajina lamtu maarufu kama kikifnyiwa promo vyema "tena watoto ndiyo kabisa wana tendence ya kupenda vitu kwasababu ya kitu flani, mfano atakwambia niletee bag la anna montana, saa ya benten.... karanga za diamond. Chama hakujibrand kupitia jina la msanii ila diamond karanga imejibrand kupitia jina la diamond.
Ungekuwa una uelewa wa marketing ungeelewa ndiyo maana wenzetu hata kama msanii alikuwa barozi wa bidhaa akiwa na scandal anapigwa chini mfano tiger woods. Ukibrand kitu kutumia msanii au mtu flani kuna kuwa na mahusiano ya moja kwa moja kati ya hiyo bidhaa na huyo mtu.
hata wewe mwenyewe I am sure ukiona diamond karanga picha ya kwanza inakuijia diamond msanii kwamba ni bidhaa ya diamond.
Kwneye biashara mara nyingi vitu uwa haviuzi kwasababu ni bora kuliko bidhaa nyingine, hapana ni image iliyotengenezwa kwenye vichwa vya watu na diamond karanga inapendwa zaidi kwasababu ya diamond.
hahaaa wabongo nyokooooHawana uwezo wa kuuza hata hivyo viungo vya pilau...mbona kuuza karanga tu kumbe ni mabalozi
Mbona unaanza kutema pumba, Mungu tena?hahaaa
kwani mungu anapokushusha huwa anakushusha vipi hebu tuanzie hapo kwanza...mpka upinge kuwa clouds hawawezi kumshusha diamond ...mahaba yakizidi huwa yanaleta upofu wa akili ..
haya niambie mungu huwa anamshusha mtu vipi ??