Namkubali sana Mamybeib wa XXL Clouds Fm, natamani kumfahamu

Namkubali sana Mamybeib wa XXL Clouds Fm, natamani kumfahamu

Ndio. Ni yule aliyeenda BBC. Mwanzo nilidhani atakuwa msichana fulani hv mwenye sura ya kipemba, kitanga au kinyaturu...kumbe sivyo. Na huyu wako unayemtafuta nadhani hatofautina sana na Mwoleka. Hahahahahaha!
bila shaka unazungumzia da regina mweleka/mziwanda
 
Dj fatty ndo alikua funga kaz bhana yan ytamu ulikua hauish fetty na mchonvu wakiwepo

Huyo mamybeb sehem inayombamba earadio pekeake
 
Back
Top Bottom