Nenda instagram ziko nying sanaNimeshajaribu hazijaja, ndio maana nikaja huku
Kioo hakidanganyi mamaaa[emoji441][emoji441][emoji441][emoji441]umekiona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hana tofauti na zama huyunenda insta kakawaida nilisoma nako tabora, n kama ile unamtongoza dem na kumpendea saut ila mki meet live unatoka nduki
bila shaka unazungumzia da regina mweleka/mziwandaNdio. Ni yule aliyeenda BBC. Mwanzo nilidhani atakuwa msichana fulani hv mwenye sura ya kipemba, kitanga au kinyaturu...kumbe sivyo. Na huyu wako unayemtafuta nadhani hatofautina sana na Mwoleka. Hahahahahaha!
Haa haa at kapga harisHuwa nakaa nawaza kwa nini wasimuweke kusoma habari clouds tv, kila siku wanatuwekea yule kapiga haris
Nenda kamwambie aje ili tumtendee haki akiwepoWachangiaji wa hii thread hamjamtendea haki mdada wa watu not fair!
Niliwah kumuona kweny FNL ya Sam misago.Eti nikampenda!Kama yupo humu jf na anasoma hii comment yangu inifate inbox mana ni mi pekee nimempenda jins alivoHaka Hapa.......Kapayaa ila kenyewe kanajionaga kazurii
NO THANK YOUdah ila sauti ni mkali hata fetty haoni ndani
Hahahahahahahahanenda insta kakawaida nilisoma nako tabora, n kama ile unamtongoza dem na kumpendea saut ila mki meet live unatoka nduki
utukuja kupenda vibwengo ohoooDuuuu mdomo wangu komaa, basi msinipe tu namba nitachat nae Facebook