Namkubali sana Mamybeib wa XXL Clouds Fm, natamani kumfahamu

Duh.. we ndio umekomesha aisee
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u rocked
 
Nyie Si Mnasemaga Diamond Anamdomo Mkubwa nyie, Sasa Angalia huo wa [HASHTAG]#Mamibabyi[/HASHTAG]... all in all Mungu ndo kaumba, Tusikae Kumkosoa Jamani. Tunakufuru sana
 
Aaaaaahhh
 
Huwa nakaa nawaza kwa nini wasimuweke kusoma habari clouds tv, kila siku wanatuwekea yule kapiga haris
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Harris Kapiga utakiwii kwenye kusoma habari, watu wanataka viwekwe vidosho wanavyovipenda ili wakapige nyetto.
 
Ila bora huyu Mammybaby bwana kuliko yule wa kuitwa Lilian Mwasha. Duh, yule demu mbovu aisee ila sauti sasa???
 
We acha kujifanya mwendawazimu google huijui au unatupa majalibu
 
Hanna kitu kama hio
 
Hakuna aliekamilika kila mtu anakasoroyake so hakupenda kua na mdomo mkubea au mbaya ila jinsi alivyo ndo anapokea mshahara hivyohivyona ubaya wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…