Uzuri wake hana mihemko na anaweza kuhold up sio kama wale wapumbavu wengine mnaitaga kina Heche et all.Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni.
Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko.
Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la Bandari kwa hakika linaweza kuitoa CCM madarakani.
Tusubiri 2025 tuone litakalotokea.
Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni.
Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko.
Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la Bandari kwa hakika linaweza kuitoa CCM madarakani.
Tusubiri 2025 tuone litakalotokea.
Hata Waziri Mkumbo ni zao la CHADEMA.Uzuri wake hana mihemko na anaweza kuhold up sio kama wale wapumbavu wengine mnaitaga kina Heche et all.
Yuko kama Mnyika kiasi kwamba ccm wanaweza fanya nae kazi.
Nawakumbusha tuu ni zao la ccm huyo,baba yake ni Mwenyekiti wa ccm Wilaya mstaafu.
Ndio maana wamekimbia huko chama Cha miyeyusho 😂😂Hata Waziri Mkumbo ni zao la CHADEMA.
Baba yake hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya Ila alikuwa Mtendaji Kata na baadaye Mwenyekiti wa CCM Kata.Uzuri wake hana mihemko na anaweza kuhold up sio kama wale wapumbavu wengine mnaitaga kina Heche et all.
Yuko kama Mnyika kiasi kwamba ccm wanaweza fanya nae kazi.
Nawakumbusha tuu ni zao la ccm huyo,baba yake ni Mwenyekiti wa ccm Wilaya mstaafu.
Hata mmeo wake ana kazi, maana mpaka umfikishe kileleni huyo siyo mchezoNiseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni.
Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko.
Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la Bandari kwa hakika linaweza kuitoa CCM madarakani.
Tusubiri 2025 tuone litakalotokea.
Pia soma
- Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini
Ccm ni mzazi wenuBaba yake hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya Ila alikuwa Mtendaji Kata na baadaye Mwenyekiti wa CCM Kata.