Namkubali sana mrembo Amber Lulu

Namkubali sana mrembo Amber Lulu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Huyu dada namkubali kweli as a person. Yuko so dope! She lives her life na yupo kinyamwezi ile mbaya. Mjanja.

luluuu-640x632.jpg

Namkubali sana huyu demu as a person!

Only-You.jpg

WHAT ABOUT U ?
 
Kwa muonekano ni mnyamwezi hasaa Ila akifungua tu mdomo wake ni mzaramu wakutokea kule kwetu kisamvula cholee. Na kichwani ni mtupu hasa hili Ndio tatizo la wauza sura wetu wa kwenye video.

Yuko so dope!!! we unatoka cholee?
 
mmh!
oke
Hata mimi namkubali
hahahahahahha Joseverest wewe humkubali hahahahaha
Hii inaitwa fuata mkumbo
 
Huyu dada namkubali kweli as a person. Yuko so dope! She lives her life na yupo kinyamwezi ile mbaya. Mjanja.

View attachment 606226

Namkubali sana huyu demu as a person!

View attachment 606227

WHAT ABOUT U ?
tega hapo leaders kwenye burger huwa wanapita na passo hapo,ukimuona humuangalii mara mbili,nilimuona siku mbili hapo sikuamini macho yangu!hawa wasanii hawa mungu awalinde kwa kweli
 
tega hapo leaders kwenye burger huwa wanapita na passo hapo,ukimuona humuangalii mara mbili,nilimuona siku mbili hapo sikuamini macho yangu!hawa wasanii hawa mungu awalinde kwa kweli
Funguka,naona kuna mambo umeyaficha hii itamsaidia mtoa mada kujua kiunagaubaga jinsi alivyo
 
tega hapo leaders kwenye burger huwa wanapita na passo hapo,ukimuona humuangalii mara mbili,nilimuona siku mbili hapo sikuamini macho yangu!hawa wasanii hawa mungu awalinde kwa kweli

sipendi sura yake wala umbo lake..napenda silka na hulka zake
 
Huyu dada namkubali kweli as a person. Yuko so dope! She lives her life na yupo kinyamwezi ile mbaya. Mjanja.

View attachment 606226

Namkubali sana huyu demu as a person!

View attachment 606227

WHAT ABOUT U ?
Sifa nazopenda kutoka kwa amber

-hawezi kudanganya yaani ukimbana kidogo tu anasema kila kitu

-ni mpole ila anaficha upole wake.

-muwazi sana

-hana roho mbaya kama gigy
 
Back
Top Bottom