Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muonekano ni mnyamwezi hasaa Ila akifungua tu mdomo wake ni mzaramu wakutokea kule kwetu kisamvula cholee. Na kichwani ni mtupu hasa hili Ndio tatizo la wauza sura wetu wa kwenye video.
Itamsaidia mtoa mada au itakusaidia wewe?Funguka,naona kuna mambo umeyaficha hii itamsaidia mtoa mada kujua kiunagaubaga jinsi alivyo
Oh oo oo!!!TID anasema huyo mtu si salama sana kwa matumizi. Take care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mnapenda sana petrol
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mmh!
oke
Hata mimi namkubali
hahahahahahha Joseverest wewe humkubali hahahahaha
Hii inaitwa fuata mkumbo