Namkubali sana Muigizaji Mwijaku, ila kwa haya aliyoyasema nitamkatalia hadi pumzi yangu ya mwisho duniani

Nafikiri ungekua unamfahamu huyo Mwijaku vizuri na matatizo aliyowasababishia baadhi ya watu usingekua unamtetea hapa!

By the way tufanye nimemaliza hasira zangu kwa leo!

Jioni njema Mkuu!

Sawa Kiongozi.
 
huyo mwijaku jina lake lingine Mwemba,, ana mauchafu mengi, ila ngojea wengine tunyamaze tusiyaanike, baba yake ni msomi mzuri kiasi na shekhee
 
" Namshukuru Mungu amenipatia mke mwema sana ana sifa zote nilizokuwa nazitaka, hana kasoro kabisa mke wangu " @mwijaku #Clouds360 #CloudsTV

Ninachojua Mimi hata Mwanamke awe Mzuri ( Mrembo ) kiasi gani ila ni lazima tu atakuwa na Kasoro yake tena Kubwa tu sasa Kitendo cha huyu Muigizaji Mwinjaku ambaye nakubali sana Kazi zake kutokana na Kipaji chake Kikubwa cha Uigizaji kusema kuwa Mwanamke aliyenae Yeye ( Mkewe ) hana Kasoro yoyote ile nitambishia hadi pumzi yangu ya mwisho katika Ardhi hii ya Tanzania.

Ombi langu tu kwa Wanaume hata kama tunawapenda Wapenzi wetu / Wake zetu Kiasi gani ila tusijiaminishe sana kuwa hawana Kasoro yoyote kwani Wao siyo Malaika bali ni Binadamu tu kama Binadamu wengine ambao hata Kiumbwaji imeshathibitishwa kuwa hakuna Mwanadamu aliyekamilika sasa iweje Muigizaji Mwinjaku atudanganye Watu wazima hivi kuwa Mkewe ( Mpenziwe ) hana Kasoro yoyote ile?

Naamini Muigizaji Mwinjaku hakumkukuta huyo Mkewe ni Bikira hili kwa mfano leo hii wakijitokeza Wanaume ambao walikuwa na Mahusiano nae huyo Mwanamke wake na wakafunguka mengi zaidi tena hata ya Sirini kabisa ya Kumuhusu Yeye ( Mwinjaku ) atajisikiaje? Je ana Moyo wa Kuhimili ufungukaji wa Watu kuhusu huyo Mwanamke anayemsifia kuwa hana Kasoro yoyote?

Tujadili.
uyo mujaku anakaa wapi ni nani?
 
Hili jamaa ni boya TZ nzima sijawahi likubali hata kidogo.
 
hata mke wangu hana kasoro,

upendo unaficha Asione kasoro

mbona logic yake rahisi
 
haina shida demu wake night tunakuwa naye guest 50K
 
huyo mwijaku jina lake lingine Mwemba,, ana mauchafu mengi, ila ngojea wengine tunyamaze tusiyaanike, baba yake ni msomi mzuri kiasi na shekhee
Upo sahihi kabisa Mkuu,anaitwa Burton Mwemba,Mzee wake ni Shekhe Morogoro!
 
Back
Top Bottom