Namkumbuka: Dr. Martin Luther King - ''I Have A Dream''

Namkumbuka: Dr. Martin Luther King - ''I Have A Dream''

Mzee Said Ebu Msikilize OTIS REDDINGs Kwnye NEw SchOOl.
King...
Ottis Redding...
Nikipiga na kuimba nyimbo zake.
Nilikuwa na guitar langu Hoffner 1960s hiyo.

Nikipenda sana nyimbo hii Groovin' Time...
Lead guitar anapiga Steve Cropper na piano Isaac Hayes...
 
Dar ina wenyewe,Library ilikuwa mtaa wa Mkwepu????sehemu ipi kwenye huu mtaa??
 
Dar ina wenyewe,Library ilikuwa mtaa wa Mkwepu????sehemu ipi kwenye huu mtaa??
Jackline,
Umesimama umesimama mkono wa kulia kwenye jengo la iliyokuwa Bilicinas,
unaangalia keep left ya Mtaa wa Jamhuri nyumba ya pili au ya tatu.

Tanganyika library ilikuwa hapo.
 
Nilishindwa kwa hiyo sikuweza kuiwakilisha St. Joseph’s Convent katika English Elocution.
Kwa nini nilishindwa?

Wenzangu walikuwa wanasema Kiingereza kwa ‘’accent,’’ nzuri ya Kiingereza. Mimi Mswahili wa Kariakoo ‘’accent,’’ yangu ndiyo iliyonifanya nishindwe.

Nadhani ulifanywa "ushindwe" kwakuwa jambo ulilochagua (I have a dream speech by Rev, Martin Luther king jr) lilikuwa ni jambo la uanaharakati lisilohitajika mbele ya baadhi ya Wazungu wabaguzi, huyo Mwalimu wako alikuwa na chembe chembe za kibaguzi.
 
Back
Top Bottom