..kuuwawa kwa Aboubakar Khamis Bakari kumenisikitisha mno.
..Na ni maoni yangu kwamba chama cha ACT hakijauenzi vya kutosha mchango wa Aboubakar Khamis Bakari.
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..kuuwawa kwa Aboubakar Khamis Bakari kumenisikitisha mno.
..Na ni maoni yangu kwamba chama cha ACT hakijauenzi vya kutosha mchango wa Aboubakar Khamis Bakari.
Mungu alitoa majibu wakati sahihi Mwendazake alikuwa anaenda kuiharibu Tanzania toka nimeanza kushuudia chaguzi katika nchi hii sijawai kuona chaguzi mbaya kama ya 2020 Mambo ambayo yalitakiwa kufanyika uchaguzi WA Kwanza kwenye nchi hii 1995 yalikuja kufanyika 2020 nchi ilirudi kwenye ukabila na jamii flani flani kuchukiwa bila sabbsu ya msingi na kuitwa wasaliti nchi ilikuwa ya kipropaganda kabisaa..I agree with you.
..lakini umewahi kujiuliza ni chaguzi ngapi hapa Afrika zinafanyika bila dhuluma, manyanyaso, na wizi?
..kwa mfano, uchaguzi wetu wa 2020. CCM walikuwa na kila sababu na uwezo wa kushinda, sasa kilichowapelekea kufanya waliyofanya ni nini?
..hivi uchaguzi gani wa Kidemokrasia huwa mgombea mmoja anakuwa na mabango nchi nzima, na kutangazwa na vyombo vyote vya habari, huku wagombea wengine wakiwa gizani?
..Wakati mwingine huwa nashangaa iliwezekana vipi uchaguzi wa namna ile ukafanyika Tanzania.