Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Laki,Mohamed Said nitafurahi sana ukileta historia ya Aisha ( Daisy) Sykes, pamoja na usomi wake kwanini hakutaka kufanya kazi Tanzania akakimbilia nje ya nchi.
Remote,Huyu ndie yule mega mstaafu wa dar mtoto wa abdul?
Aisee, sikupata kufahamu kama alifariki alishakuja shuleni kwetu primary akiwa meya.Huyu ndie yule meya mstaafu wa dar mtoto wa abdul?