Namkumbuka Kleist Abdul Sykes (1950 - 2017)

Namkumbuka Kleist Abdul Sykes (1950 - 2017)

Mohamed Said nitafurahi sana ukileta historia ya Aisha ( Daisy) Sykes, pamoja na usomi wake kwanini hakutaka kufanya kazi Tanzania akakimbilia nje ya nchi.
 
Mohamed Said nitafurahi sana ukileta historia ya Aisha ( Daisy) Sykes, pamoja na usomi wake kwanini hakutaka kufanya kazi Tanzania akakimbilia nje ya nchi.
Laki,
Una mambo sana kaka wewe unanifurahisha sana na maswali yako.

Kakimbilia nje ya nchi.
Kleist pia chembelecho na yeye alikimbia...

Nilifika Geneva kwa treni nikitokea Paris mwenyeji wangu tunatoka stesheni akaniambia,"Nakupitisha kwanza uone ofisi ya rafiki yako Kleist alipokuwa anafanyakazi."

(Huyu mwenyeji wangu yeye alikuwa ILO hapo Geneva na baba yake pia alikuwa muasisi wa TANU).

Ofisi ya Kleist ilikuwa UNHCR, Geneva.
Iko picha nikiiona nitakuwekea.
 
Huyu ndie yule mega mstaafu wa dar mtoto wa abdul?
 
Back
Top Bottom