Sakata zima liliwekwa kwenye channel ya Crime and Investigation. Yaani yule jamaa alikuwa anafanya kazi butchery na vile alivyomcharanga, suspicion ya kwanza ilikwenda kwa watu wa aina hiyo kwani jinsi alivyocharangwa ilikuwa very clean ambayo kwa mtu wa kawaida asingeweza kufanya hivyo.
Yule binti alimweleza wifi yake issue ya 'kaka' kumtamani, na kulikuwa na misunderstanding. Baadae yule wife alihama nyumbani na ndiyo hayo mauaji yalitokea baada ya muda fulani. Kwa vile uso ulikuwa umeharibika walitumia sculptors (nadhani ndiyo jina lao) kutengeneza aina ya uso ambao marehemu angekuwa nao. Walipotangaza tu kwenye tv yule exwife alikisia kwamba ni wifi yake na alikwenda kuripoti polisi.
Polisi walifuatilia hiyo kesi na yule jamaa alipoulizwa alisema Mwivano amerudi nyumbani Tanzania, ndipo walipofuatilia hadi kwa wazee wake Tz na kuona kwamba wazee hawana habari na walidhania bado mtoto wao yuko marekani.
Kesi iliendelea na mwisho yule jamaa nadhani alihukumiwa kifungo cha maisha.
Niliiona hiyo kwenye channel hiyo na nilikuwa interested kuangalia kwa vile ilihusu Tz.
...Kwa nini tunaamini kuwa Kupaza ndio alifanya Unyama huo?? Kwa nini tusidhani kuwa labda mke wake baada ya kusikia kuwa Kupaza anamnyemelea pia mdogo wao akaamua kufanya 'Action' ya 'kuuwa' ndege wawili kwa jiwqe moja????
...Kwa nini tunaamini kuwa Kupaza ndio alifanya Unyama huo?? Kwa nini tusidhani kuwa labda mke wake baada ya kusikia kuwa Kupaza anamnyemelea pia mdogo wao akaamua kufanya 'Action' ya 'kuuwa' ndege wawili kwa jiwqe moja????
Alipatikana na hatia na alihukumiwa kifo alichomwa sindano ili onyeshwa kwenye luninga nakumbuka nika ma. Mwaka 1998
Angalia Zuku kuna channel inayohusu makala za uharifu,na wahalifu wanavyofuatiliwa hadi kudakwaLol,tunawezaje pata documentary ya hyo mambo,duh tulikuwa tumetia aibu kwakweli....
Wabeba box kaeni chonjo na hao wanawake wenu wa kufikia ,wengine hujisahau kabisa ,na hatimaye wanaporudishwa hubaki kulaumu ndugu kuwa hawawajali wanapokabiliwa na msongo wa mawazo na maishaKwa wale ambao wanawajua wanawake wa kimarekani huenda wakawa na mtazamo tofauti kidogo.
Napata hisia Ross ndiye alikuwa muhusika na aliapnga tukio hili kwa ustadi mkubwa akijua tabia ya mtalaka wake na ross alijua mahusiano na dada yake yainaweza kumpoint Kupaza moja kwa moja na yule jamaa mwanaume wa kizungu ayeuona kwanza mfuko wenye mwili huku akisikitika kwenye mto wa wascosin na kumwambia yule mama alikuwa na familia na marafiki piknic ndiye alitekeleza mpango huo