Namlaumu sana John Heche maana ndo alituzalia huyu Katambi kwenye siasa,Wacha limpige bakora

Namlaumu sana John Heche maana ndo alituzalia huyu Katambi kwenye siasa,Wacha limpige bakora

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
John Heche POPOTE ulipo ulaaniwe na Mungu Baba wa Mbinguni kwa kutizalia poyoyo kwenye siasa, Katambi wewe ndo ulilichoa Nafasi ya mwenyekiti Taifa Bavicha ona yanayo jili Sasa.

Nyinyi wewe na Mbowe ndo mlililea Leo linatukungia chama cheti kisifanye siasa maana akili halina ni poyoyoyoooo
 
Heche Hana kosa ni kawaida kwenye maisha na nature ya Dunia.

Kuna aina Fulani ya mbwa anaitwa Pitbull,ni rahisi Sana kumshambulia na kumuua mmiliki yaani linakuwa na ukichaa fulani

Hivyo ni kawaida,usitegemee Sana wema unaotenda utalipwa kwenye angle zote, wengine watakufurahisha
 
Huenda Katambi alikuwa Pandikizi la Serikali ndani ya Chadema.. Ole Sosopi alifaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA by then ila sijui nini kilitokea akashinda huyu licha ya kutokuwa na influence ndani na nje ya Chama..

Nakumbuka kipindi Lissu amepigwa Risasi, BAVICHA chini ya Mwenyekiti wake Katambi waliandaa maandamano ya Amani... Cha ajabu huyu Katambi hakutokea eneo la Maanandamo, wengine wakaishia kukamatwa...
 
Hujitambui !!!!!!

Kikwete ndio alimuitroduce pia yule anaayeupiga mwingi (according to machawa)

Siasa ina mengi.....
 
Huenda Katambi alikuwa Pandikizi la Serikali ndani ya Chadema.. Ole Sosopi alifaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA by then ila sijui nini kilitokea akashinda huyu licha ya kutokuwa na influence ndani na nje ya Chama..

Nakumbuka kipindi Lissu amepigwa Risasi, BAVICHA chini ya Mwenyekiti wake Katambi waliandaa maandamano ya Amani... Cha ajabu huyu Katambi hakutokea eneo la Maanandamo, wengine wakaishia kukamatwa...
Ndio ujue kuwa chadema kulikuwa na mapandikizi mno niliwahi kumtilia shaka mashinji na kweli yakawa yaleyale
 
Back
Top Bottom