Namlinda Rais wa Jamhuri

Namlinda Rais wa Jamhuri

jafarikyaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
378
Reaction score
269
Habari zenu wana JF,
Natumai mpo powa

Usiku wakuamkia Leo nimeota ndoto namlinda mheshimiwa/mtukufu Rais wa jamhuri ..alikuwa hana mlinzi zaidi yangu MIMI kyaka

Wenye ujuzi wa mambo nisaidieni.
IMG_20191020_072251_118.jpeg
 
mtoa mada naona umembeba rais wako ili huduma zisiende mbali
 
Hii inaonyesha ndoto yako ni nzuri sana sema uliikatisha kwa kiherehere chako cha kuamka mapema. Nakushauri siku nyingine uendelee kulala ili uweze kuota vizuri
 
Back
Top Bottom