ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
JIBU: Naomba nikupigie baadae mkuu naendesha gari au niko katikati ya mkutano au niko katikati ya watu wengi, au niko hospitali au niko polisi au bank au chooni au niko popote ambapo simu si karibishwa
Uliyekua nae hapo akikuuliza mbona umedanganya utamwambiaje!! labda km nikimwanafunz ch secondary ndio kitakuelewa