Namna ccm inavyotia majaribuni mihimili mingine ya serikali. (Our governing system is tested)

Namna ccm inavyotia majaribuni mihimili mingine ya serikali. (Our governing system is tested)

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Imagine kiongozi wa kisiasa (wakati wa magufuli) anaamrisha wizi wa kura hapa ni kuvijaribu vyombo vya ulinzi na usalama vilinde dhuluma. Rejea uchaguzi wa 2020. The states security apparatus were tested .

Kesi ya mbowe Kama kweli lengo ni kumfunga kwa gharama yoyote hata iweje Basi mahakama zetu zimegeuzwa kangaroo courts Hapa napo ni kuzijaribu mahaka zetu. Kuzitia majaribuni. Our judiciary system is tested and compromised) inaumiza Sana.

Mods naomba msifute huu Uzi haya ni mawazo yangu na mawazo hayapigwi rungu.
 
Mahakama ni mali ya sisiyemu na sisiyemu muongozaji yuko anavuta harufu ya samaki ferry
 
Back
Top Bottom