Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

Ukishayaleta hapa utanufaika na nini? Acha kuumiza watu mkuu pia jitahidi kuachana na maisha ya watu.

We si ulifunga swaumu wakati wa Ramadhani? Dini hairuhusu haya ufanyayo.
 
Piga 2 in 1. Hafu unatuweka sana week 3 nzima. Piga kila weekend tuchangamke.
 
Hizi hatuzitaki tupe nawewe umbea wako!
 
Ukishayaleta hapa utanufaika na nini? Acha kuumiza watu mkuu pia jitahidi kuachana na maisha ya watu.

We si ulifunga swaumu wakati wa Ramadhani? Dini hairuhusu haya ufanyayo.
Sio Ramadhani pekee, hadi sunna nafunga na swala najitahidi MaashAllah.

Mkuu, haya unayosema ni maisha ya watu hata nisiposema mimi watasema wengine.

Nashukuru kwa ukumbusho.
 
2
2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…