Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweka alama ya @ sambamba na jina la member....umeelewa sasa....?
hahahahaaah!!! Nami nimefurahi kugundua kuwa kumbe ni wengi mlikuwa hamjui hii kitu, hata wewe Visionmark.....siamini....Nimefurahi sana kama wewe kaeso, Katavi na Preta mmeelewa hii ki2 manake ilinilazimu nifanye maombi kwa nguvu sana ili muelewe sababu ingelikuwa ni aibu si kwenu tu bali kwa Taifa nzima kwa watu ambao wanajiita ni magreat thinkers kutoelewa kitu kidogo kama hiki. Bwana awatie nguvu na awazidishie uelewa zaidi!