Namna Gani Mna MENTION members kwenye post??

Ukitaka ku-mention wawili na kuendelea unapaswa kutenganisha majina kwa alama hii kwenye mabano (,) mfano @ Preta,
@ Madame B lakini usiache nafasi kati ya jina na alama @.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…