Yaani ninachojiuliza,kwa mfano mauzo kwa siku ni sh.laki moja,hivi faida humo ni asilimia ngapi ya hiyo laki moja?Kama ni duka la reje reja inabidi uwe bahiri haswa,
Vocha hakuna faida.
Unaposema duka la reja reja unamaanisha nini?Kama ni duka la reje reja inabidi uwe bahiri haswa,
Vocha hakuna faida.
Muuzaji wa kilo moja ya mchele, vocha ya mia tano,, pipi, biscuits moja, unga kilo moja, mafuta ya vibaba vya mia mia 🤔🤔🤔🤔Unaposema duka la reja reja unamaanisha nini?
Duka la reja reja hata duka la vipodozi ni linaweza likawa la reja reja,duka la vifaa vya simu, vya ujenzi ,pikipiki nk linaweza likawa la reja reja.Muuzaji wa kilo moja ya mchele, vocha ya mia tano,, pipi, biscuits moja, unga kilo moja, mafuta ya vibaba vya mia mia 🤔🤔🤔🤔
HapanaDuka la reja reja hata duka la vipodozi ni linaweza likawa la reja reja,duka la vifaa vya simu, vya ujenzi ,pikipiki nk linaweza likawa la reja reja.
Hapana una maana gani?Hapana
usimwingize mkenge atakula mtaji uyoKisha jumlisha zote tafuta profit in percentage mfano ukipata 10% ukiuza laki faid yako roughly ni 10,000
Kasome kamusi ya kiswahili....Hapana una maana gani?
Ipo wapi?Kasome kamusi ya kiswahili....