Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Duka la Mangi...kuli manage ni upate Muuzaji muaminifu au ukae mwenyewe la sivyo maji utaita MmaNinauza vocha za simu,juisi za watoto,Mchele wa kupima,Katanga za kukaanga, mafuta ya kula,soda,mafuta ya kupaka,chumvi,sabuni yaani ni la mahitaji ya nyumbani!Ni kama duka-genge!