Namna gani naweza kusambaza kitabu

Namna gani naweza kusambaza kitabu

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
wadau nilichapisha kitabu kinachohusu pombe. kitabu hicho kina sura zifuatazo.
· AINA ZA POMBE
· JINSI POMBE INAVYOFANYA KAZI MWILINI
· HANGOVER NA MATIBABU YAKE
· FAIDA NA HASARA ZA POMBE
· UNYWAJI WA POMBE KIASI
· UNYWAJI WA POMBE WA KUPINDUKIA
· JINSI YA KUACHA POMBE
MUINGILIANO WA POMBE NA DAWA

nimekuja kugundua usambazaji ndiyo stage ngumu sana, wapi nitapata wanaohusika na usambazaji?. kakitabu kana page 60, kina lamination na karatasi nyeupe. kila kitabu nilichapisha Tsh1200 na ninampango wa kuuza Tsh3000 kila kimoja. nilianza kuchapa nakala 500 ila sasa zimebaki kama 300. vikiisha nategemea kuchapisha vingine. natanguliza shukrani.
 
ongera sana,watakuja wenye uelewa wa tatiz lako usijar
 
shukrani mkuu, nilimpa jamaa yangu kama vitabu 20 kauza na hajanipa hata senti. sema ilinipa moyo kuona vinauza. kuna wengine hunipigia simu lakini inakuwa tabu kuwafikia.
 
Jaribu kwenda digital , na maanisha tegeneza soft copy utaweza kuuza mwenyewe na utaondokana na hizo shida, maana kuna jamaa humu,janvim wanauza vitabu kwa njio hio na malipo unayapata kwa njia ya m-pesa au tigo pesa e.t.c
 
Hiyo njia unafanyaje na soko inakuwaje katika kuwauzia watu?
 
Jaribu kwenda digital , na maanisha tegeneza soft copy utaweza kuuza mwenyewe na utaondokana na hizo shida, maana kuna jamaa humu,janvim wanauza vitabu kwa njio hio na malipo unayapata kwa njia ya m-pesa au tigo pesa e.t.c
hii kweli ni njia nzuri ila masuala ya files sharing yananiogopesha.
 
Back
Top Bottom