Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

Wanafunzi wengi wa chuo wanapenda movie, sasa kama wewe una laptop tafuta movie Hasa ziwe kwenye Hd au AVI in quality zile latest pia tafuta series. Mtu akitaka single movie Eg.THE NUN in hd au avi unamwekea kwa 500 anakuja na flash, Cm au pc yake, akitaka series kila Kipande 200.. Pia uza software antivirus, Idm, etc... Kaa printi tangazo badika kwenye notice bord zenu za chuo
 
Zipo njia nyingi sana za kupata kipato kwa njia ya mtandao, jambo la kwanza ni kujua wewe unapendelea nini na jinsi gani ya kumanetaizi hiyo hobby yako. Mfano unaweza ukawa unapenda kuandika basi hapo unaweza ukaamua kuanzisha blog au ukaanza kufanya content writing.
Baadhi ya njia za kupata kipato mtandaoni ni pamoja na blogging, forex trading, content writing, graphics, freelancer etc. Unaweza ukachagua kati ya hayo na ukaanza nalo.
 
Making money online is easier than most think.

Sahau Forex.

Zipo njia nyingi ambazo ni sustainable unatengeneza pesa bila risk yoyote.

Hauhitaji kuwa na degree kutengeneze pesa. Unachohitaji ni right skills kwaaliji ya kutengeneza pesa mtandaoni.

Kwa faida ya watu hapa ngoja nitaje baadhi ya njia hizi.

1 • Tengeneze blog.

- ukiwa na blog it is easier to make $200 a month.

2 • Freelancing

- unaweza kutengeneza $ 200 - $ 400 a month.

3 • Consultation/ Couching

- you can make so much money. There is no limit.

Kama unahitaji kujua zaidi dont hesitate drop me private message.
 
Making money online is easier than most think.

Sahau Forex.

Zipo njia nyingi ambazo ni sustainable unatengeneza pesa bila risk yoyote.

Hauhitaji kuwa na degree kutengeneze pesa. Unachohitaji ni right skills kwaaliji ya kutengeneza pesa mtandaoni.

Kwa faida ya watu hapa ngoja nitaje baadhi ya njia hizi.

1 • Tengeneze blog.

- ukiwa na blog it is easy to make $200 a month.

2 • Freelancing

- unaweza kutengeneza $ 200 - $ 400 a month.

3 • Consultation/ Couching

- you can make so much money. There is no limit.

Kama unahitaji kujua zaidi dont hesitate drop me private message.
Mimi ni muumini wa fursa za mtandaoni na naungana na mawazo yako kuhusu hizo fursa hapo juu. Ila unapokuja katika Forex ni rahisi sana kufanya laverage ya mtaji wako tofauti na fursa zingine ambapo unaweza ukawa umeishia kutengeneza 1000$ per month, katika Forex hio ni faida ya siku kwa profession traders japo ina risk kubwa ukilinganisha na fursa zingine.
 
Stop lying to yourself.

You can't make $1000 in forex in a constancy manner as newbie.

Na hao professional traders unaowazungumzia ni wa hapa JF?

Pia fahamu watu wanataka kuwekeza kwenye ujuzi unaolipa na usio husisha risk.

Ngoja nikuonyeshe.

Ukijifunza copy writing au graphic design kwa mfano, hapo unakuwa umejifunza skills unazoweza kutumia kuingiza kipato bila kuhusisha risk yoyote.

Mimi mtu anayejifunza kujiongezea kipato mtandaoni kamwe siwezi mshauri trading Forex.

Mimi ninaweza kukuonyesha jinsi unavyoweza kutengeneza pesa hata hapa JF siyo tu kwenye Freelance sites ambazo wengi wenu hamjawahi kutengeneza pesa yoyote tangu mjiunge.

Mkuu big sorry sijaribu kukudhihaki.

I'm telling the truth.

Kutengeneza pesa mtandaoni haiishii tu kuwa na skills nilizolitaja.

You need to build yourself as brand.

Na hii si rahisi.

Ndiyo maana nasema kama unatafuta njia ya kutengeneza pesa mtandaoni you need guidance.

Binafsi nawafahamu watu wengi ni graphic designers, content writers, SEO's, transcribers, translators nakadhalika lakini hawawezi tengeneza pesa mtandaoni.

Can you guess why?

They don't know how to SELL.

Na kwasababu wengi wanadhani wanaweza wenyewe wanapoteza muda kwenye strategies zisizofanya kazi.

Weekend njema.
 
Binafsi namfahamu watu wengi ni graphic designers, content writers, SEO's, transcribers, translators nakadhalika lakini hawawezi tengeneza pesa mtandaoni.

Can you guess why?

They don't know how to SELL.

Na kwasababu wengi wanadhani wanaweza wenyewe wanapoteza muda kwenye strategies zisizofanya kazi.

Weekend njema.
natamani nikuulize how much yu earn ila mm niko zero balance acha niendelee kukaa kimnya mkuu
 
Nilidhani utaniuliza inawezekana vipi kuweza kutengeneza pesa mtandaoni lakini wewe unaniuliza kiasi gani ninachotengeneza.

Kukujibu, I don't make thousands.

Fahamu tu watu mtandaoni watalipia tu ujuzi wanaodhani unatatua changamoto zao.

Unaona ilivyo rahisi?

Lakini ngoja.

Kuuza ni kitu kigumu sana.

You need to be trusted.

Hiyo ndiyo mwanzo wa kutengeneza brand.

Lakini haiishii hapo.

I can write 100000 words.

Lakini kufanya hivyo you need to pay me.

Yes, nakusaidia kurahisisha kitu ambacho ungekifanya kwa miaka but with my guidance it takes few weeks.

Mkuu nisome taratibu na unielewe.

Kama upo na swali niulize nitakujibu.
 
Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...

siku hzi mtu yuko zake ghetto, anafanya labda biashara ya viatu online, unashanga hujawah muona akifanya kazi yeyote, akitoka n kidogo tu amerudi, unajiuliza huyu jamaa anaishije, kodi analipa on time, hajawah miss siku yake ya umeme hata mara moja, anavaa fresh, totoz kwa sana wanapishana tu.. unabak na maswal buku, ukiangalia unavyomaliza soli za viatu alafu bado mambo magumu... dunia imebadilika mno broh, pakubwa mno mno
Haha usiwe mbishi umeshaambiwa 'betting only tu' ! Btw nimependa hiyo kitu uliyoelezea yaani mtu anauza bidhaa online ila hana bidhaa zenyewe na watu wakinunua anawapaje mizigo yao?
 
Sasa mbona una attack mtu wakati na yeye katoa wazo lake?

Kila mtu ana mawazo yake hivyo bora ungeweka yako bila kumwattack mwenzio.
Umeona mwenyewe alivyoandika comment yake? La kwanza na la mwisho ni betting only tu. Unawezaje kusema wazo lako ni la kwanza na la mwisho na wewe si Mungu?
 
Watafute watu wa gnld, forever living n the likes...
 
Haha usiwe mbishi umeshaambiwa 'betting only tu' ! Btw nimependa hiyo kitu uliyoelezea yaani mtu anauza bidhaa online ila hana bidhaa zenyewe na watu wakinunua anawapaje mizigo yao?
Bidhaa anazo, ambacho hana ni ofisi, so anakua nazo ghetto kwake tu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Stop lying to yourself.

You can't make $1000 in forex in a constancy manner as newbie.

Na hao professional traders unaowazungumzia ni wa hapa JF?

Pia fahamu watu wanataka kuwekeza kwenye ujuzi unaolipa na usio husisha risk.

Ngoja nikuonyeshe.

Ukijifunza copy writing au graphic design kwa mfano, hapo unakuwa umejifunza skills unazoweza kutumia kuingiza kipato bila kuhusisha risk yoyote.

Mimi mtu anayejifunza kujiongezea kipato mtandaoni kamwe siwezi mshauri trading Forex.

Mimi ninaweza kukuonyesha jinsi unavyoweza kutengeneza pesa hata hapa JF siyo tu kwenye Freelance sites ambazo wengi wenu hamjawahi kutengeneza pesa yoyote tangu mjiunge.

Mkuu big sorry sijaribu kukudhihaki.

I'm telling the truth.

Kutengeneza pesa mtandaoni haiishii tu kuwa na skills nilizolitaja.

You need to build yourself as brand.

Na hii si rahisi.

Ndiyo maana nasema kama unatafuta njia ya kutengeneza pesa mtandaoni you need guidance.

Binafsi nawafahamu watu wengi ni graphic designers, content writers, SEO's, transcribers, translators nakadhalika lakini hawawezi tengeneza pesa mtandaoni.

Can you guess why?

They don't know how to SELL.

Na kwasababu wengi wanadhani wanaweza wenyewe wanapoteza muda kwenye strategies zisizofanya kazi.

Weekend njema.
Nimejifunza kitu hapa. Nashukuru san mkuu.

Japo siungani moja kwa moja na idea ya kufanya kazi zisizokuwa na risk, mkuu kuna njia mbili za kupata kipato yaani WIN-WIN situation au WIN-LOSE situation

Nikianza na hiyo ya kwanza, hapo utatakiwa ku-provide value kwa watu ndipo wakulipe kwa values unayoitengeneza katika maisha yao. Njia hii ni nzuri inahitaji watu wanaopenda kujitolea sana

Hiyo ya pili unatakiwa kuwa Master wa jambo unalofanya ili uweze kumshinda competitor wako. Njia hii ni ngumu kidogo kwani yahitaji muda na uvumilivu sana. Kuna msemo unasema Mastery ya kitu chochote huchukua masaa 10000 ili kuweza kuipata.

Hatuna haja ya kuogopa risk as ling as kama kuna njia za jinsi ya kuziepuka na kuzipunguza, kwa mfano mimi nimeijua FX mwaka jana, sina mentor lakini bado nina uwezo wa kutengeneza 5$ kwa siku nikiwa na capital ya 20$ This sums 100$.

Fikiria kama ningekuwa na mentor mzuri huenda ningekuwa katika positon nzuri zaidi ya hapa

Sema umegusia kitu cha msingi sana, baada ya kuupata ujuzi tujifunze jinsi ya kuuza ndipo tutakapoona matunda ya ujuzi wetu.
 
Mkuu naomba niwe na
Nilidhani utaniuliza inawezekana vipi kuweza kutengeneza pesa mtandaoni lakini wewe unaniuliza kiasi gani ninachotengeneza.

Kukujibu, I don't make thousands.

Fahamu tu watu mtandaoni watalipia tu ujuzi wanaodhani unatatua changamoto zao.

Unaona ilivyo rahisi?

Lakini ngoja.

Kuuza ni kitu kigumu sana.

You need to be trusted.

Hiyo ndiyo mwanzo wa kutengeneza brand.

Lakini haiishii hapo.

I can write 100000 words.

Lakini kufanya hivyo you need to pay me.

Yes, nakusaidia kurahisisha kitu ambacho ungekifanya kwa miaka but with my guidance it takes few weeks.

Mkuu nisome taratibu na unielewe.

Kama upo na swali niulize nitakujibu.

Mkuu naomba uandae uzi maalum juu ya hili swala

Naamini itatusaidia sana sisi vijana ambao tunatafuta fursa za kupata kipato kwa njia ya mtandao

Nawasilisha.
 
Mkuu naomba niwe na

Mkuu naomba uandae uzi maalum juu ya hili swala

Naamini itatusaidia sana sisi vijana ambao tunatafuta fursa za kupata kipato kwa njia ya mtandao

Nawasilisha.
Asante kwa pendekezo zuri mkuu.

Niliwaza kuhusu hili lakini sikufahamu lini niweke post hapa JF.

Kesho jioni nitaanda post na nitaweka hapa JF.

Watu watauliza maswali and I will answer them.

Nadhani watu wanapaswa kuelewa sasa hivi everything is going online.

Hii maana yake hela nazo zinahamia mtandaoni.

Na kama hutojifunza namna yakutengeneza pesa kutumia opportunity internet imetoa basi soon you will disappear.

Yes, Jpili nitaweka post bila kukosa.
 
Shukrani
 
Wakuu kuna hawa watu wanajiita alliance global in motion,ni wapigaji au...
 
Siwezi nikatoa conclusion katika swali lako.

Alliance in global Motion ni multi-level company kama zilivyo Forever living na mengine, hivyo model yao ya biashara huhusisha uuzaji wa bidhaa japo wanakumbana na changamoto kubwa ya kupata wateja kwani bidhaa zao huwa ni ghari kidogo ukilinganisha na bidhaa nyingine.

Kuondokana na changamoto ya kupata wateja, members wa hizi companies huanza kujikita katika kushawishi watu wajiunge chini yao. Huwa wanapata commission kwa kila mteja anayejiunga chini yao.

Kama unauwezo wa kushawishi watu wajiunge chini yako unaweza kujiunga nao, nakumbuka kuna video niliangalia inaonesha Top Earner wa Tanzania alitengeneza kama 2 Billions. Kama huna hiyo sifa ni vema ukaangalia fursa zingine.

Note; jambo la muhimu kuhusu hizi multi level companies huwa wanatoa elimu ya ujasiriamali, hivyo unaweza ukajiunga ukiwa na lengo la ujuzi huo.

Wikendi njema mkuu.
 
Asante kwa pendekezo zuri mkuu.

Niliwaza kuhusu hili lakini sikufahamu lini niweke post hapa JF.

Kesho jioni nitaanda post na nitaweka hapa JF.

Watu watauliza maswali and I will answer them.

Nadhani watu wanapaswa kuelewa sasa hivi everything is going online.

Hii maana yake hela nazo zinahamia mtandaoni.

Na kama hutojifunza namna yakutengeneza pesa kutumia opportunity internet imetoa basi soon you will disappear.

Yes, Jpili nitaweka post bila kukosa.
Jumapili bado haijaisha Mkuu. Tunasubiri Bandiko lako.
 
Back
Top Bottom